Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

Ndio ndio😁
 
mkuu umempa michongo ya uhakika tena bila choyo,salute kwako,ikikupendeza ongezea nyama kwenye hu mchongo wa sulphur
Hiyo sulphur ninayoisema ni ile ya Ruzuku ambayo wakulima walipewa msimu uliopita sasa kutokana na watu wa masasi sio watumiaji wakubwa wa sulphur ndio huwa wanainunua kwa bei hiyo ya 15000 au 20000 halafu inaenda kuuzwa newala au tandahimba kwa bei ya 40000 kwasasa
 
Biashara kwa masasi ni nyingi
Hasa ishu ya mazao kwa masasi itakutoa,ila lazima uwe na mtu mziefu akufundishe tunavyofanyaga wenzieo
Kwabiashara ya mazao kwa mtu mwenye mtaji mdogo ni kujisumbua tu nina binamu yangu yupo kaumu ana tani nne za mchele ndio mwenyewe anatamba eti anafanya biashara ya nafaka🤣🤣🤣....msimu uliopita nilimpa dili moja akusanye kochoko(mabibo yaliyokauka)wakati wa mavuno ya korosho kwahesabu ya gunia shiling 8000 kwahiyo angenunua gunia 500 kwa shiling 4000000 halafu anatunza stoo ikifika mwezi wa 10 anaanza kupika gongo na kila gunia unatoa lita 20 gongo kwahiyo hapo angepata kama dumu 500 hivi ambapo angeuza bei ya 40000 angepata pesa mzuri mno kuliko kuuza mchele
 
Kuna wazo la mziki na duka la vifaa vya mziki kwa masasi utapata hela.
 
Kuna wazo la mziki na duka la vifaa vya mziki kwa masasi utapata hela.
Duka la mziki kwa maana vyombo vya mziki lazima uwe na mtaji mim mtaji wangu upo chini hivo itakuwa ngumu kumudu
 
Kwa maana kwa hesabu zako angeteneza million 20 kwa bei ya 40000 idea nzurii ila hao wanunuzi wapo wapii wakukuungisha dumu zote hizo
 
Tandahimba kwenyewe wanauza bei hyo hyo ya elfu20
 
Kwa maana kwa hesabu zako angeteneza million 20 kwa bei ya 40000 idea nzurii ila hao wanunuzi wapo wapii wakukuungisha dumu zote hizo
Kaka soko la gongo ni kubwa mno wateja ni wale wenye vilabu vya pombe ambapo kila kijiji wapo wakutosha amini watu wanalewa balaa wewe utakuwa mtu wa kupokea oda tu
 
Tandahimba kwenyewe wanauza bei hyo hyo ya elfu20
Hamna anaeuza sulphur kwa bei hiyo tandahimba yote ile....kuna mshkaji yupo mdimba sudi alinipa oda nimpelekee mifuko 70 kwa bei ya 35000 mwezi wa tatu sasa ingekuwa inapatikana kwa bei hiyo ya 20000 angeniambia mimi?
 
Kaka soko la gongo ni kubwa mno wateja ni wale wenye vilabu vya pombe ambapo kila kijiji wapo wakutosha amini watu wanalewa balaa wewe utakuwa mtu wa kupokea oda tu
Sawa kk wewe unafanya hyo biashara tuzunguke raund hata Moja unionyeshe mzunguko nahaitakuwa free ntakulipa
 
Duka la mziki kwa maana vyombo vya mziki lazima uwe na mtaji mim mtaji wangu upo chini hivo itakuwa ngumu kumudu
Huyo hajawahi kufanya biashara yeyote ile ufanye biashara ya vyombo vya muziki masasi si utalala njaa
 
Kwanini usingempa hizi taarifa netu PM kwa usiri mkubwa?
Kuna wakuda humu Kibao.
Mapolisi njaa yamejaa na intekujensia uchwara ya kuongea masikini.
Mkuu mimi sio muoga hata kidogo aisee....labda unipige risasi ila ninachowakubali polisi hawachelewi kuchomana wenyewe kwa wenyewe sasa hapo mimi ndipo napapenda
 
Kuna fursa nimeiona hapa masasi hakuna movie point ya kisasa wengi wanafanya local lakin cjajua ni kutokana Haina wateja hii biashra au weng wameamua tu kuweka local kutokana na kukariri maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…