Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Hapa umemaliza kila kitu Niko kwenye business hizi zakuuza nakununua competition nikubwa Sana yaan faida ndogo mno nilichogundua kwasasa Tanzania ili utusue ni uimport bidhaa kwa nembo yako au uproduce mwenyewe ili uwe natargeted customer wako na ufaid new custorme with different market stratrgy
 
Ushauri wangu ingia shamba mkuu , kawekeshe mahindi huko kwa wakulima kabla ya mavuno gunia Moja la mahindi kwa Sasa ni elfu 40 -50 kwa maeneo mengi baadae wakivuna mwezi wa 6 hiv ukihifadhi kidogo tu unauweza kuuza gunia Moja minimum kwa elfu 70 - 100k , so Kuna uwezekano wa kupata faida kwa 100% ya pesa ulioiwekeza!
 
Kama unataka pesa yako hiongezeke kubali kufanya biashara ya halali pia ukubali kupata faida kidogo kidogo hili hela yake izidi kupanda pole pole biashara ya pesa ya haraka mala nyingi na hasara ni ya haraka pia hela ya utajiri uja kidogo dogo
 
kaka unaweza nielezea kuhusu ya kirikuu kama unaifahamu
 
Kuna jamaa mmoja alikua yeye kila uzi wa biashara anatoa ushauri na watu wakiwa desperate hua hawawezi ona zaidi ya wanachoonyeshwa.

And then one day ikaja kesi jamaa kamtapeli mdada humu kisha akaanza mlaumu mdada kua kampa kaswende.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kama unataka utoboe kiurahis fanya byashara ya mtandao(network marketing)kuna mrad unaitwa ag nutrition to be honest unalipa sana tena sana Kama uko sereous njoo inbox nikupe maelekezo uingie mzigon ipo siku utanishukuru
 
Kwa mbwembwe ulizoonyesha sikutegemea hizi ndio idea za biashara ulizonazo kichwani
 
Huyo jamaa@Money Bags hajui lolote kuhusu biashara anafanya ujuaji tu hajawai fanya biashara mimi nimemsoma namna anavyo mislead watu...uber/bolt is no longer profitable hata kupata buku 20 madereva wanashindwa. Analeta story nyingi hapa za kumislead watu wachome mitaji yao.
 
Mpe Dortmund na yanga
Tia mzigo wote
nunua konyagi ndogo Anza kumeza taratibu huku ukisubiri mavuno

NB:kuna mmoja amejirusha ghorofani hapo makumbusho
 
Yeap [emoji95]
 
Ndugu naona wengi wameshauli kuhusu biashara lakini kuna mambo kama mawili nataka nikufahamishe kwa biashara yoyote utakayo chagua kuanza.
1. Mfano ukawa na msingi wa 10m tafuta biashara ya kufanya utakayo anza na 5m.
2. Biashara ni tabia za watu wachache haswa za kuanza chini kama ujawahi kufanya zinachangamoto sana ata ukiwekeza 50m inaitaji uwe karibu na mtu anaye fanya hiyo haina ya biashara na akushike 100%...vinginevyo tafuta mtu aliye anza na unayemuamini uweke percent yako uku ukiwa na wewe ukishiliki hiyo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…