Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Kwa mtaji wa pikipiki 20 akiletewa 200,000 kwa siku bado sio faida aitakayo maana humo kwenye laki mbili ya siku kuna hela iliyo tumika kununulia pikipiki...

Sent using Jamii Forums mobile app

Usimsikilize huyo anayekudanganya kuhusu pikipiki hiyo ni biashara ya kupuuzi mnoo achana nayo kabisa. Kwanza piki piki mpya zinaibiwa sana na hap hajakuwekea hesabu ya service na vingine. Biashara ya kichwani ni tofauti na ya mtaani haiendi ivyo...
 
Upo siriasi kweli unataka kuwekeza m100 upate laki 2 kwa siku? Mbona iyo return ndogo?

Sio ndogo mkuu Ni faida nzuri. Miezi 17 Mungu akiweka mkono wake atakuwa kasharudisha fedha yake.

Kutengeneza mil 6 kwa mwezi awamu kiuhalisia Sio rahisi kama.unavyofikiri.

Na ukikurupuka kufanya biasha biashara ya kupata mil 10+ kwa tamaa mtaji unaweza kata ukiwa unajiona. Laki mbili baada ya miez kazaa lazima iongezeke
 
Mimi ni graduate toka Mlimani Nina biashara ya play station kwa mtaji wa 2M..kila baada ya siku 10 napata 100k na hiyo ni kwa outset 1..kama nikiwekeza 20×2M=40M,,10k×20=200,000/= for 40M..na hiyo yote ni almost profit maana pesa inayoingia yote ni deposited matumiz mengine ni nje ya hiyo per day..
Pia napanga kufungua Car Wash kwa 2M nauhakika wa kupata 50k per day kwa office moja nikiosha gar 10tu ....kila la kheri
 
Wana JF habari za majukumu?

Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku?

Mchango wako ni muhimu kwangu.
Biashara ya kukupa faidi laki 2 kwa siku Moja wapo ni Biashara ya Jumla especially Vinywaji sema sio mwanzo usitegemee ukaanza na iyo faida u need to work hard
 
Mkui , tafadhali share nasi hio biashara ulianza n buku 2 mpk mamilion
 
Hebu changanua mkuu hyo biashara ya play station unavyo ifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…