Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Kilimo gani hicho? Wewe unafanya hicho kilimo chenye kuingiza hela nyingi kwa muda mfupi?Kilimo
Kuhusu masoko yanapatikanaje? Unaanzia wapi na unahitaji nini ili ufanikiwe katika masoko?Mkuu mambo mengi kwenye kilimo TRA hawanusi kabisa.
Ila ujipange kujielimisha masoko kwanza
BIASHARA GANI INAYOINGIZA MAMILIONI KWA MUDA MFUPI?Labda kwanza tujue ni biashara gani zinaingiza mamilioni kwa MREFU*
Kwanza ukiachana na mazao ambayo serikali inasimamia haya mengine unakula faida 100% bila TRA kunusa. Hii ni tundu ambalo TRA wataliziba baadae, sasa hivi liko wazi.Kilimo gani hicho? Wewe unafanya hicho kilimo chenye kuingiza hela nyingi kwa muda mfupi?
Vizuri..Hili zao la mihogo shambani linachukua muda gani hadi kuvuna?Kwanza ukiachana na mazao ambayo serikali inasimamia haya mengine unakula faida 100% bila TRA kunusa. Hii ni tundu ambalo TRA wataliziba baadae sasa hivi liko wazi.
Usinifuate mimi mazingira ya soko na shamba hayawezi kuwa sawa.
1. Shamba liwe lako.
2. Lenye rutuba sio kila kitu lazina uweke mbolea
3. Chanzo cha maji cha uhakika
4. Shamba liweze kufikika kama sio hapo au jirani tu.
5. Soko.
6. Hicho unacholima utauzia shambani au utagharimia kupeleka kwenye soko au mnunuzi.
7 pia kulima kwa simu na kitima hela hakufai kama guwezi kujihusisha mwenyewe achana na kilimo. Kama una mind degree yako pia kaa pembeni, nule shamba unakutana na watu kila aina.
Mimi nililima mihogo na kabla ya kulima nilikuwa na maongezi na mkataba na kampuni iko mwenge wao walikuwa wanapeleka mhogo china.
Kwa hiyo nililima fresh tu wakataka mhogo niukatekate kama slesi za 5cm halafu nikaushe baadae wakaniletea viroba vya 50kg nijaze.
Kukata kata ikawa shida. Wakaniazimisha mashine ya kukatakata na jenereta bure nikaa kaa nazo wiki 2.
Nilitengeneza mhogo tani 2 wakaja wakaufwata mzigo shambani kwa gharama zao.
Hela waliingiza kwenye akaunti ndani ya siku 4.
Sasa hivi nimewakimbia bei wameshusha sana haina maslahi. Nataka kulima kitu kingine.
Kilimo usiige ile ujifunze halafu unaboresha kwako .
Mbona unatajiwa unapinga sasa kumbe unazijuaKilimo gani hicho? Wewe unafanya hicho kilimo chenye kuingiza hela nyingi kwa muda mfupi?
Kilimo gani hicho? Wewe unafanya hicho kilimo chenye kuingiza hela nyingi kwa muda mfupi?
Niunganishe nao mkuu nilime muhogo kwa bei yao elekeziKwanza ukiachana na mazao ambayo serikali inasimamia haya mengine unakula faida 100% bila TRA kunusa. Hii ni tundu ambalo TRA wataliziba baadae sasa hivi liko wazi.
Usinifuate mimi mazingira ya soko na shamba hayawezi kuwa sawa.
1. Shamba liwe lako.
2. Lenye rutuba sio kila kitu lazina uweke mbolea
3. Chanzo cha maji cha uhakika
4. Shamba liweze kufikika kama sio hapo au jirani tu.
5. Soko.
6. Hicho unacholima utauzia shambani au utagharimia kupeleka kwenye soko au mnunuzi.
7 pia kulima kwa simu na kutuma hela hakufai kama huwezi kujihusisha mwenyewe achana na kilimo. Kama una mind degree yako pia kaa pembeni, kule shamba unakutana na watu kila aina.
Mimi nililima mihogo na kabla ya kulima nilikuwa na maongezi na mkataba na kampuni iko mwenge wao walikuwa wanapeleka mhogo china.
Kwa hiyo nililima fresh tu wakataka mhogo niukatekate kama slesi za 5cm halafu nikaushe baadae wakaniletea viroba vya 50kg nijaze.
Kukata kata ikawa shida. Wakaniazimisha mashine ya kukatakata na jenereta bure nikaa kaa nazo wiki 2.
Nilitengeneza mhogo tani 2 wakaja wakaufwata mzigo shambani kwa gharama zao.
Hela waliingiza kwenye akaunti ndani ya siku 4.
Sasa hivi nimewakimbia bei wameshusha sana haina maslahi. Nataka kulima kitu kingine.
Kilimo usiige ile ujifunze halafu unaboresha kwako .
@Alvin SlainBiashara yoyote inayoitwa haramu...ukiifanya unaingiza ela nyingi kwa mda mfupi. The higher the risk the higher the income. Biashara harama zinafichwa sana "higher demand low supply" lazima price iwe juu. Mfano Pablo escober muuza unga katika kila inverstment yake ya 100$ ilikuwa inarudi 300$. Profit 200$
Hongera Mkuu, pia umetoa somo zuri! Inaonekana unaweza kuzalisha muhogo kwa kwango cha kutosha, kabla hujaachana na kilimo cha muhogo je kwanini usitafte wanunuzi wengine? Jamani humu JF hakuna mnaofahamu wanunuzi wengine wa muhogo ndani na nje ya Dar?Kwanza ukiachana na mazao ambayo serikali inasimamia haya mengine unakula faida 100% bila TRA kunusa. Hii ni tundu ambalo TRA wataliziba baadae sasa hivi liko wazi.