Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hizi biashara za kuwashana magari ni noma kweli yani! Mtu anakuja anawafunga mota bana kitu flani ni dili watu wanakodi mashamba na kulima chap chap! Matokeo yake muda wa mavuno mnunuzi haonekani 😂😂😂Kuna kikampuni cha wachina 2016 walisema limeni mihogo kwa wingi tutanunua kilo 1000/= wana wakajaa wakaja moro kwa fujo wakalima hatari...mhogo ulipokomaa wakanunua kwa shilingi MIA...narudia..shilingi MIA..hahaa wapi shogangu Shoma...alidata balaa🤣🤣..cheza michezo yote sio mchezo wa soko la TZ