devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Biashara ya bangi ina faida sana...Mim nimejenga nyumba ..gari na ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kilimo cha maua kikoje? Nifahamishe+Labda cha maua.
Kubeti , mashine za mchina na nyingine haramuTaarifa za kufanikiwa katika biashara zinapatikana kila mahali lakini hakuna mahali wamenyesha hizo biashara zinazosababisha hayo mafanikio, ni biashara za aina gani hizo?
Soko la mitaji likiwa katika hali ya kuzorota
Ni biashara gani inayoweza kukufanya kuwa milionea katika kipindi cha miaka michache ijayo?
Ni kilimo cha maua (Cut flowers)ambayo mara nyingi huuzwa ktk Mataifa ya Ulaya,Sema initial cost ni kubwa kodogo kwasababu huwa kinafanyika ktk Kitalu nyumba (Green house/Screen house).Hivyo Kuna gharama za kuweka hiyo green house.Maeneo km Arusha Kuna Wakulima wakubwa wanaojishughulisha na kilimo hiki.My.take km unataka kujifunza vizuri Nenda Arusha,hapa JF hutaweza kupata Ukweli wote kuhusu Kilimo hiki,ninaposema ukweli wote namaanisha Strength and weekness,kwa kuambiwa na Wakulima wenyewe sio kusoma kwenye media.Hiki kilimo cha maua kikoje? Nifahamishe+
Kama kuna tajiri mmoja hk Moshi ananyonya wafanyakazi mpaka too much. Nilifanya kazi kwake nikaona nitazeekea pale niliondoka baada ya miezi kumi kwa speed ya jet
Ilikua ni biashara gani mkuu.Kama kuna tajiri mmoja hk Moshi ananyonya wafanyakazi mpaka too much. Nilifanya kazi kwake nikaona nitazeekea pale niliondoka baada ya miezi kumi kwa speed ya jet
Unapatikana wapi mkuu??Biashara ya bangi ina faida sana...Mim nimejenga nyumba ..gari na ndoa
Kama kuna tajiri mmoja hk Moshi ananyonya wafanyakazi mpaka too much. Nilifanya kazi kwake nikaona nitazeekea pale niliondoka baada ya miezi kumi kwa speed ya jet
Miezi kumi🙄🙄..ila tayari ulishanyonywa.🤣🤣🤣🤣🤣Kama kuna tajiri mmoja hk Moshi ananyonya wafanyakazi mpaka too much. Nilifanya kazi kwake nikaona nitazeekea pale niliondoka baada ya miezi kumi kwa speed ya jet
Safi sana mkuu, hongera sana, kuna kitu umenifundisha hapaKwanza ukiachana na mazao ambayo serikali inasimamia haya mengine unakula faida 100% bila TRA kunusa. Hii ni tundu ambalo TRA wataliziba baadae, sasa hivi liko wazi.
Usinifuate mimi mazingira ya soko na shamba hayawezi kuwa sawa.
1. Shamba liwe lako.
2. Lenye rutuba sio kila kitu lazima uweke mbolea
3. Chanzo cha maji cha uhakika
4. Shamba liweze kufikika kama sio hapo au jirani tu.
5. Soko.
6. Hicho unacholima utauzia shambani au utagharimia kupeleka kwenye soko au mnunuzi.
7 Pia kulima kwa simu na kutuma hela hakufai kama huwezi kujihusisha mwenyewe achana na kilimo. Kama una mind degree yako pia kaa pembeni, kule shamba unakutana na watu kila aina.
Mimi nililima mihogo na kabla ya kulima nilikuwa na maongezi na mkataba na kampuni iko Mwenge, wao walikuwa wanapeleka mhogo China.
Kwa hiyo nililima fresh tu wakataka mhogo niukatekate kama slesi za 5cm halafu nikaushe baadae wakaniletea viroba vya 50kg nijaze.
Kukata kata ikawa shida. Wakaniazimisha mashine ya kukatakata na jenereta bure nikaa kaa nazo wiki 2.
Nilitengeneza mhogo tani 2 wakaja wakaufwata mzigo shambani kwa gharama zao.
Hela waliingiza kwenye akaunti ndani ya siku 4.
Sasa hivi nimewakimbia bei wameshusha sana haina maslahi. Nataka kulima kitu kingine.
Kilimo usiige ile ujifunze halafu unaboresha kwako.
Inategemea na mbegu ila nyingii ni wastani wa miezi mitano na kuendeleaVizuri..Hili zao la mihogo shambani linachukua muda gani hadi kuvuna?
Ni mawazo yako ila wengi wanatoa.Mtu anayeweza kukupa structure yake yote ya kuingiza mamilioni kirahisirahisi humu JF atakuwa hana akili timamu na hajui maana ya biashara.
[emoji3516]Mtu anayeweza kukupa structure yake yote ya kuingiza mamilioni kirahisirahisi humu JF atakuwa hana akili timamu na hajui maana ya biashara.
🙏🙏Kwanza ukiachana na mazao ambayo serikali inasimamia haya mengine unakula faida 100% bila TRA kunusa. Hii ni tundu ambalo TRA wataliziba baadae, sasa hivi liko wazi.
Usinifuate mimi mazingira ya soko na shamba hayawezi kuwa sawa.
1. Shamba liwe lako.
2. Lenye rutuba sio kila kitu lazima uweke mbolea
3. Chanzo cha maji cha uhakika
4. Shamba liweze kufikika kama sio hapo au jirani tu.
5. Soko.
6. Hicho unacholima utauzia shambani au utagharimia kupeleka kwenye soko au mnunuzi.
7 Pia kulima kwa simu na kutuma hela hakufai kama huwezi kujihusisha mwenyewe achana na kilimo. Kama una mind degree yako pia kaa pembeni, kule shamba unakutana na watu kila aina.
Mimi nililima mihogo na kabla ya kulima nilikuwa na maongezi na mkataba na kampuni iko Mwenge, wao walikuwa wanapeleka mhogo China.
Kwa hiyo nililima fresh tu wakataka mhogo niukatekate kama slesi za 5cm halafu nikaushe baadae wakaniletea viroba vya 50kg nijaze.
Kukata kata ikawa shida. Wakaniazimisha mashine ya kukatakata na jenereta bure nikaa kaa nazo wiki 2.
Nilitengeneza mhogo tani 2 wakaja wakaufwata mzigo shambani kwa gharama zao.
Hela waliingiza kwenye akaunti ndani ya siku 4.
Sasa hivi nimewakimbia bei wameshusha sana haina maslahi. Nataka kulima kitu kingine.
Kilimo usiige ile ujifunze halafu unaboresha kwako.
FactMkuu hakuna biashara halali inayoingiza mamilioni ndani ya muda mfupi, hata hicho kilimo ili uweze kuzalisha pesa panahitahitaji uwekezaji mkubwa ndipo faida yake itaonekana!
Vivyo hivyo katika biashara yoyote, kadri mtaji utakavyokuwa mkubwa ndivyo kiwango cha faida kitakavyosoma!
Ila tu jambo la msingi ni soko la bidhaa unayokusudia kufanyia biashara, mfano kama kila ukichukua mzigo unamaliza ndani ya siku chache, hapo zidisha maarifa ni lazima utatoboa! Lakini kama Bidhaa inachukua muda mrefu kupata wateja, utajikuta unakula faida yote na si ajabu ukala hadi sehemu ya mtaji.
Biashara ikiwa namna hiyo ni kubadilisha haraka maana mtaji ni lazima utadidimia na hata kufilisika kabisa.
Hata hivyo katika biashara uvumilivu wa kufikia mafanikio nao pia unahitajika, historia ya mabilionea wa dunia kama kina Bill gates, inaonyesha mwanzoni mwa biashara zao walikula hasara mara kibao tu, lakini uvumilivu na maarifa vikawavusha mpaka kufikia records walizonazo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Kuna kikampuni cha wachina 2016 walisema limeni mihogo kwa wingi tutanunua kilo 1000/= wana wakajaa wakaja moro kwa fujo wakalima hatari...mhogo ulipokomaa wakanunua kwa shilingi MIA...narudia..shilingi MIA..hahaa wapi shogangu Shoma...alidata balaa[emoji1787][emoji1787]..cheza michezo yote sio mchezo wa soko la TZ
Umuhim wa elim sasa..... ahsante mkuu uyu jamaa anatak kutupiga kama #QNETNchi zote duniani hazijafika 200
Zipo 195 tu au mkuu umeihesabia na chato