NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Vibali,leseni,Tin,soko wala sio shida mkuu.Mkuu ungetoa ufafanuzi kidogo, kwa mfano kuanzisha biashara ya madini unatakiwa uwe na ntaji kiasi gani? Vibali vya kufanya hivyo ninavipata ofisi gani?
Hayo madini unayanunua wapi na unayauza wapi?
Shida ni upate mzoefu aliepo kwenye iyo kazi akushike mkono.
Kupigwa au kupoteza pesa kama sio mzoefu kwenye hii biashara ni kugusa tu.
Ni biashara yenye ujanja ujanja mwingi na utapeli na umafia uliokubuhu.