Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

Hizi biashara za kuwashana magari ni noma kweli yani! Mtu anakuja anawafunga mota bana kitu flani ni dili watu wanakodi mashamba na kulima chap chap! Matokeo yake muda wa mavuno mnunuzi haonekani 😂😂😂
 
Kamali...ujambazi..utapeli...biashara ya ngono...biashara ya binadam..biashara ya mihabarati..uchawi.
Kweli biashara haramu zote, zina mafanikio ya haraka na majuto ya kudumu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kweli biashara haramu zote, zina mafanikio ya haraka na majuto ya kudumu.

Everyday is Saturday............................... 😎
Kuna dada telegram anaingiza 500k per day kwa kuuza mali ghafi zake na minimum charge ni 50k kwaiyo kila siku watu kumi wanatembeza rungu aisee nikabidi nimuulize lini anastaafu maana sio mchezo kwa Km izo ni kama mabus ya mkoani zinachoka haraka.
 
Yah this is crazy world
 
Mkuu ungetoa ufafanuzi kidogo, kwa mfano kuanzisha biashara ya madini unatakiwa uwe na ntaji kiasi gani? Vibali vya kufanya hivyo ninavipata ofisi gani?

Hayo madini unayanunua wapi na unayauza wapi?
Ukifata utaratibu wa serikali haufanikiwi wanafanikiwa wao. Ukitaka kufanya biashara ya madini na kufanikiwa kwa haraka pitia mlango wa nyuma
 
Ukifata utaratibu wa serikali haufanikiwi wanafanikiwa wao. Ukitaka kufanya biashara ya madini na kufanikiwa kwa haraka pitia mlango wa nyuma
Ila uwe ma exit plan ukidakwa, vinginevyo ni kisanga.
 
Kama una mtaji nunua dagaa Zanzibar peleka Kongo kwa mweI mpaka miloni Mia unapata mtaji wake usiwe chini ya milioni miambili
 
Nataka na mimi siku moja nizamie kwenye machimbo ya dhahabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…