Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hapana, sio kweliHakuna biashara yenye faida na inayotumiwa na watu wengi huku imeharamishwa kama ukahaba.
Na upo kila mahali duniani mpaka Mecca na Vatican City.
Na nchi zilizohalalisha bado zina-control makahaba ambao hawataki kuwa controlled na serikali, kwa hiyo wanafanya kiharamu.Drugs na Silaha zote ni biashara zinazopaliliwa na ukahaba.
It's the oldest, most profitable and unbeatable.
Huu ulioandika hapa ni uongo mwingi na over exaggerated stories.