Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

Kiasi chake nilikua naona pesa ingawa ilikua haijachanganya kivile kwa kipindi kile.
Mkuu hela za matumizi yako ulikuwa unachukua hapo hapo dukani au ulikuwa hugusi faida ya dukani?
Kitu kingine hapo nilichogundua ni location ndio tatizo.
Maeneo ya Goba hayajachangamka kibiashara,inachukua muda mrefu sana kuzoeleka.
 

Pole sana. Biashara ya Duka hasa la vitu vya reja reja ni changamoto maana vitu vina faida ndogo ndogo sana (10,20,50,100, 500) usipokuwa na displine ya hela ukaona leo nimeuza million ukaona mambo poa ni kumbe faida hapo ni 20,000 hadi 30,000. Hii biashara inataka uwe na nidhamu ya hali ya juu sana kwenye kupiga hesabu na pia katika matumizi yako binafsi.
 
Boda boda hawa hawa wa mtaani ambaye anakaa wiki tatu bila kukuletea hesabu,,,,ukiwa nayo moja utaona ni rahisi ila ongezea mbili au tatu ndipo utaona mziki vijana wengi siyo waaminifu watakutia stress utauza boda zote vijana waaminifu ni mmoja kati ya kumi

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
We unadhani mil 10 ni mtaji mkubwa huo, ni mtaji wakuanzia tu maisha sijui kama umeshawahi kufanya biashara ya duka utafungua duka la mil 10 lakini mtaji unaojizungusha ni wa mil 3 yaani bidhaa zingine zinakuwaga kama mapambo.
Mimi sijaona umuhimu wa kujaza duka hasa maeneo ya vijjn
 
Oil, betri za magari na matairi. Lilikuwa Goba Dar.
Hiyo biashara sio ya kufirisika kwa haraka hivyo hata kama hakuna mauzo mazuri, rafiki yangu mmoja aliwahi kufanya hiyo biashara na apigwa 4M kutokana mchezo aliokuwa anafanyiwa na muagalizi.

Nikipata muda nitarudi hapa kuweka hicho kisa, nadhani kitakusaidia.
 
Pole sana ,biashara ngumu sana lazima uwe na heshima
 
M 10 upati boda boda 5 mkuu,tvs/boxer zinakimbilia m 2.9 kwa sasa na mkataba si elfu 15 kwa siku kwa miezi,ni elfu 10 kwa siku
 
Nitofautiane tu na wewe,milioni kumi ni nyingi sio ndogo mkuu
 
kwa hyo mtaji sahihi wa kuanzisha biashara ni shi ngapi?
 
then, ulitakiwa kujua biashara yake kabla ya kuhitimisha kwamba mil 10 ni mtaji mdogo.,,
 
Ndio maana nimemtoa mdogo wangu wa damu hivyohivyo..wandugu hawafai kuwaweka kwny biashara
Mm na ndugu hapa tutasaidiana uko uko uliko mbali na bznes yangu. Sitaki ndugu kwenye bznes zangu hata kidogo. Wanapenda kuchukulia poa tu wao. Si anajua uwezi kumfanya chchote. Mm ntakusaidia uko uliko tu.
 
Mm na ndugu hapa tutasaidiana uko uko uliko mbali na bznes yangu. Sitaki ndugu kwenye bznes zangu hata kidogo. Wanapenda kuchukulia poa tu wao. Si anajua uwezi kumfanya chchote. Mm ntakusaidia uko uliko tu.
Huyu wa kwangu nilianza nae duka lkn nikatenga Kila sehemu na mtaji wake..vocha,miamala na upande wa briji..vocha nilianza na elfu 40 mpk kufika laki4 ..siku moja nikasafiri nikakuta mtaji wa vocha ameuhamiashia kwenye briji ...bila kuonekana alichonununa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…