Kweli kabisa inategemea na malengo ya mtu. Watu kama sie ambao hatutaki stress za kudeal na watu...ukiwa na mzigo kama huo wa m300 basi nikutulia home tuu. Mbona mil 3 kwa mwezi nyingi sanaila anakua hana risk ya hela yake kupotea waka kufilisika, na muda wowote akitaka anachukua hela yake.
Sawa mkuu,ngoja wafugaji waje hapa watatupa uzoefu wao.hii inawezekana kutegemea na aina ya biashara!
mfano anatefuga kuroiler akawalisha inavyotakiwa na akauza rejareja kila mwezi anaweza fikisha hata 4M
hata anayeweka layers mayai yanalipa kama atachanganya chakula yeye mwenyewe!
Nipe elimu kidogo ni bank gani hufanya hivyo?Mkuu kuna kitu inaitwa Novatechfx.
Unaweka hela yako wanaizungusha.
Wanalipa kila week.
Hiyo 300m kwa week wanakupa sio chini ya 7m.
Return yake ni ndogo mkuu. With 20m investment napata net profit 800k-1.2m kwa mweziHiyo return ni ya juu sana sielewi kwa nini unalalamika. Ume invest 300M returns kwa mwaka ni 60M ambayo ni karibia 20%. hamna biashara nyingine yenye such high returns. Hata treasury bills/bonds annual returns ni around 10%.
mie pia nafanya ufugaji huu! ingawa si kwa kiwango hiki ila nina muda mrefu! na nimeshafanya research kubwa tu! nikipata mtaji wa kufka 10M nitatoboa! maana mabanda ni yangu na chakula nachanganya mwenyewe! magonjwa ya kuku napambania mwenyewe,Sawa mkuu,ngoja wafugaji waje hapa watatupa uzoefu wao.
Vip ukiwa na 114 mende alfu ukaweka tella pili imeekaajeBro mpaka nafikia malengo ya kutafuta huo mfupa kweli ntakua sina connection za mizigo kweli?? Niko jikoni me ndo natafuta sub contract nawagawia kazi... kwa sasa tuna kazi ya Rwanda kigali $117 kwa tani., kila trip gari inabakiza 3,100,000 faida na kwa mwez mtu kwenda trip 3 uhakika wengine 4! Siku nikiishiwa kazi ntakuchek mkuu, af usiidharau 113 ndo chombo ya kumtoa maskini mafichoni, mchawi dereva tu mzuri [emoji16].. pamoja [emoji1666]
😂😂😂
Unayumba mzee ha ha ha.
Kwa all legit business, zisizo na makando kando. Tena zile ambazo zinakaguliwa haswa. Most katika hizo net profit huwa zina range 10% ikienda sana 30%. Tena hizi rate ni kwa well established company ama brand.
Chukua mfano Giants tech Company kama Amazon.
Total Assets over 400+ billions dollar
Total Revenue over 400+ billions dollar
Ila annual net profit inatulia kwenye just 30+ billions dollar.
Je vipi hapo kwa mtizamo wako hawa jamaa hawajui kufanya biashara eeh? Hapo ukiizoom vizuri net profit unaona kabisa inasoma below 10%.
Zunguka kote kwa ma top notch kama Alphabet Inc, Sio Meta wala Apple, sio Alibaba wala nani kote net profit utaikuta kwenye range hiyo ya 10% ikienda saaaana 30%.
Issue ya faida mara 2 mara 5 au hata mara 500 kwa kubeti 😂 ni biashara ya kuifanya kihuni sana, sio kwamba hazipo zipo ila sio sahihi kwa kila mtu.
Personality yako ndio itakayoamua unafanya biashara ipi na itaingiza shi ngapi kwa uwekezaji unaoenda kufanya. Maana mwingine hapa atasema hizo Mil300 ukifungu danguro la pisi kali ukawa unakula kila kichwa 50k kwa siku watu 20 n m1 kwa mwezi ni 30M kwa mwaka 360M...
Yah ni hesabu za kufikirika ila zinashawishi. Swali juu ya swali, hiyo biashara ni legal kwa eneo ulipo? Hiyo biashara itakutambulishaje kwenye jamii unayoishi? Katika hustle zako una standard ulizojiwekea za kukuingizia kipato au kila mzoga mbele as long as unaingiza pesa hata kuua unaweza?
After all Biashara kubwa kwanza ni ngumu sana kuifanyia uhuni. Tofauti na biashara ndogo ndogo ambazo hupigwi sana torch za seikali.
Kwa Mil 300, kulingana na aina ya biashara 5per month, 60 per annum ni standard otherwise ukitaka kuipatia faida (net profit) of over 100Mil inakulazim kile unachozalisha ukiwekee price tag ya karibu mara 2 to 3 zaidi ya gharama za uzalishaji.
Sasa kama una leseni na una- operate legally huu uhuni unaufanya vipi labda ukaufanye kwenye dunia yako 😂.
kuna Saccos ukipeleka hiyo wanakulipa 2% kila mwez kama faidaKuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza tsh. million mia tatu(300m+) nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Mkuu hili swali Kila siku narudiaga kukuuliza nisamehe kwa usumbufu. Vipi nikiwekeza Sasa hivi 1 m USD kwenye fixed account faida ntapata ngapi kwa mwaka?Eeh wewe ni gym, kula vizuri na kumkaza wife tu
Ajirisk tu huko kuliko kungojea vimillion 5 kwa mwezi kwa million 300Hata zaidi ya bilioni 10 kwa mwaka unapata kwenye madini,unapiga fully yaani madini ya matani na ya gram pia.Inayokata pesa ni madini ya gram.Matani uhakika pesa inarudi.
Unafuu upo kwenye free riskSasa 12% ya 300m ni 36mil....hii ni faida kwa mwaka...ukiigawa kwa miezi 12 unapata 3m. maanake faida kwa mwezi ni hiyo 3mil...unafuu uko wapi apo?
Hii 12% ni kwa mwaka au kwa mwezi? Kama ni kwa mwaka ni 36m, ambayo ni 3m kwa mwezi.Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Pambana mkuu kuongeza faida kwenye biashara yako.Sasa mnataka kupewa hesabu za uongo ili iweje? Ndo hivyo mkuu huku naendelea kujifunza.
Safi Sana mkuu,all the best.mie pia nafanya ufugaji huu! ingawa si kwa kiwango hiki ila nina muda mrefu! na nimeshafanya research kubwa tu! nikipata mtaji wa kufka 10M nitatoboa! maana mabanda ni yangu na chakula nachanganya mwenyewe! magonjwa ya kuku napambania mwenyewe,
kikubwa usicheze na mtaji kwenye biashara kama hii
Kasema badoUlitaka yote 300m kwa mwezi? Kama umeondoka running costs na ukabaki na 5m kwa mwezi sioni kama ni dhambi
Duh pole sana.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza tsh. million mia tatu(300m+) nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!