Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Tunajitahidi mkuu ila ndo ivo tulikua tumeshikilia taasisi nying mnooo za serekali tunafanya nao kazi kwa mwezi ilikua hatukosi cheque ya milion 80 kwa ajil ya izo taasisi ila kwa sas zote tumezitema tunatak tuanze upyaa tuone hali itakuaje
 
Wasomi chakarikeni kuna biashara mitaji midogo sana faida yakutosha tafuteni maarifa yalipojificha msipeane moyo vinginevyo hawa wasiosoma kila siku watawaacha mbali kwenye swala zima la kujiajiri.
Bint Mideko naomba nikufuate inbobo
 
Mideko naomba uniruhusu hii comment nikaiprint stationary kwenye karatasi ya A4.
 
Inaonekana majambazi wengi wapo kwenye hii industry ya madini eeh?
Kuna pesa mkuu kupigwa chuma ya kichwa dakika sifuri tu!! Hao wafanya biashara wanatembea na bastola ukifika Arusha na Geita izo kesi zipo kibao watu kuuliwa kisa iyo michongo yaani utauliwa na mzigo unatemeshwa hao jamaa hawaaminiani hata 0%
 

Kokotoa hapo uone achana na hao wanaodanganya sjui utapata milion mia ngap uongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…