kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Hii ipoje ukiwa na plant ya kusafisha madiniUnapigwa madini feki, bora kuanzisha plant ya kusafishia[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ipoje ukiwa na plant ya kusafisha madiniUnapigwa madini feki, bora kuanzisha plant ya kusafishia[emoji28][emoji28][emoji28]
Tunajitahidi mkuu ila ndo ivo tulikua tumeshikilia taasisi nying mnooo za serekali tunafanya nao kazi kwa mwezi ilikua hatukosi cheque ya milion 80 kwa ajil ya izo taasisi ila kwa sas zote tumezitema tunatak tuanze upyaa tuone hali itakuajeBiashara ina mambo mengi Sana mkuu,usione wenye vituo vya Mafuta walikua wanafanya Mpango Mafuta yanaonekana ni ya transit kumbe yanauziwa humu humu nchini,wanapiga hela kichizi unaona tu mtu anafungua vituo vya Mafuta kila siku.
Tafuteni maarifa mkuu.
Nb:Sijasema mkwepe Kodi Mkuu.
ulianzisha biashara gani?Tangu biashara iliponifanya mbaya nilishakuwa muoga sana wa biashara
biashara gani hiyo🙄Hata mil 50 bado faida ndogo sana. Mtu unazungusha mtaji hauzid laki mbili na kila mwezi mtu anakunja faida mil na ushee.
Bint Mideko naomba nikufuate inboboWasomi chakarikeni kuna biashara mitaji midogo sana faida yakutosha tafuteni maarifa yalipojificha msipeane moyo vinginevyo hawa wasiosoma kila siku watawaacha mbali kwenye swala zima la kujiajiri.
Mideko naomba uniruhusu hii comment nikaiprint stationary kwenye karatasi ya A4.Kitu ninachozidi kujifunza, watu wengi wanaamini kuanza biashara na mtaji mkubwa kwenye biashara ndio kupata faida kubwa kiuhalisia si kweli.
Biashara anzia mtaji mdogo kwanza huku unaendelea kuisoma kadri siku zinavyozidi unakuwa unaongeza mtaji kulingana na mahitaji ya wateja wako baada ya kuwasoma, na ukianza na mtaji mdogo ni rahisi kujifunza biashara ukiwa kwenye uhalisia kuna namna flani unapata mwanga au kuna fursa flani zinajitokeza ukiwa kwenye biashara moja itakayokufanya usonge mbele au uzidi kuwa imara .
Tuzidi kupeana moyo wapambanaji tuliochagua huu upande wakujiajiri.
samahani naomba kuuliza eti wewe ni @mahondwa au tumsuburi mwengine.Binafsi nikiwa na laki 1 ya mtaji sithubutu kuidumbukiza yote kwenye biashara 50/50
Kuna pesa mkuu kupigwa chuma ya kichwa dakika sifuri tu!! Hao wafanya biashara wanatembea na bastola ukifika Arusha na Geita izo kesi zipo kibao watu kuuliwa kisa iyo michongo yaani utauliwa na mzigo unatemeshwa hao jamaa hawaaminiani hata 0%Inaonekana majambazi wengi wapo kwenye hii industry ya madini eeh?
Mie sio mahondaw,samahani naomba kuuliza eti wewe ni @mahondwa au tumsuburi mwengine.
poa ngoja ni save namba yako.Mie sio mahondaw,
Mahondaw yupo kule selfika.
Ushaambiwa hapo bado hajatoa running costsUlitaka yote 300m kwa mwezi? Kama umeondoka running costs na ukabaki na 5m kwa mwezi sioni kama ni dhambi
Nitumie na bando,hili nipokee simu yako[emoji23]poa ngoja ni save namba yako.
Mkuu equipment ni hitaji kubwa sana angalia miradi iliyotangazwa TANROADS na TARURA wenye equipment ni wachache sana hapa nchiniGreda unalo ww tu watu wakodi kila siku
Yap benk nyingi 100mil kuendelea ni 10% kwa mwakaAfu wengi wanaongea tu kuhusu iyo fixed account huku hawajui kitu kwa m300 atapata 25m na kidogo kwa mwaka wastan wa milion mbili kwa mwezi
Cha ajabu anaibuka mtu anakwambia sjui milion50 sjui 100 kwa mwaka utadhan rahisi utadhan hao mabank wanafanya biashara ya nn sjuiYap benk nyingi 100mil kuendelea ni 10% kwa mwaka
hamna shida.Nitumie na bando,hili nipokee simu yako[emoji23]