Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara ina mambo mengi Sana mkuu,usione wenye vituo vya Mafuta walikua wanafanya Mpango Mafuta yanaonekana ni ya transit kumbe yanauziwa humu humu nchini,wanapiga hela kichizi unaona tu mtu anafungua vituo vya Mafuta kila siku.

Tafuteni maarifa mkuu.

Nb:Sijasema mkwepe Kodi Mkuu.
Tunajitahidi mkuu ila ndo ivo tulikua tumeshikilia taasisi nying mnooo za serekali tunafanya nao kazi kwa mwezi ilikua hatukosi cheque ya milion 80 kwa ajil ya izo taasisi ila kwa sas zote tumezitema tunatak tuanze upyaa tuone hali itakuaje
 
Wasomi chakarikeni kuna biashara mitaji midogo sana faida yakutosha tafuteni maarifa yalipojificha msipeane moyo vinginevyo hawa wasiosoma kila siku watawaacha mbali kwenye swala zima la kujiajiri.
Bint Mideko naomba nikufuate inbobo
 
Kitu ninachozidi kujifunza, watu wengi wanaamini kuanza biashara na mtaji mkubwa kwenye biashara ndio kupata faida kubwa kiuhalisia si kweli.

Biashara anzia mtaji mdogo kwanza huku unaendelea kuisoma kadri siku zinavyozidi unakuwa unaongeza mtaji kulingana na mahitaji ya wateja wako baada ya kuwasoma, na ukianza na mtaji mdogo ni rahisi kujifunza biashara ukiwa kwenye uhalisia kuna namna flani unapata mwanga au kuna fursa flani zinajitokeza ukiwa kwenye biashara moja itakayokufanya usonge mbele au uzidi kuwa imara .

Tuzidi kupeana moyo wapambanaji tuliochagua huu upande wakujiajiri.
Mideko naomba uniruhusu hii comment nikaiprint stationary kwenye karatasi ya A4.
 
Inaonekana majambazi wengi wapo kwenye hii industry ya madini eeh?
Kuna pesa mkuu kupigwa chuma ya kichwa dakika sifuri tu!! Hao wafanya biashara wanatembea na bastola ukifika Arusha na Geita izo kesi zipo kibao watu kuuliwa kisa iyo michongo yaani utauliwa na mzigo unatemeshwa hao jamaa hawaaminiani hata 0%
 

Kokotoa hapo uone achana na hao wanaodanganya sjui utapata milion mia ngap uongo tu
 
Back
Top Bottom