raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Watu wanasikia na kuongezea za kwao ndio mambo kama hayo wanakuja nayo 😀Cha ajabu anaibuka mtu anakwambia sjui milion50 sjui 100 kwa mwaka utadhan rahisi utadhan hao mabank wanafanya biashara ya nn sjui
Hivi Mwana hapo UTT huwa tunaanzia kuweka sh ngapi.Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Kama hiyo % ni kwa mwaka, basi faida itokanayo nayo ni ndogo kuliko anayoipata sasaKwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Biashara ni kwa ajili ya risk takers la sivyo unaweza kuwehuka utakapoona mambo yameenda kombo.Cha ajabu anaibuka mtu anakwambia sjui milion50 sjui 100 kwa mwaka utadhan rahisi utadhan hao mabank wanafanya biashara ya nn sjui
Shikamoo JFBiashara hizi.View attachment 2333402
[emoji23]hamna shida.
Duu kweli watu wa mjini mna mipango sanaKama
Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???
Mkuu haupo siriaz wakt kna watu million 6 kwa mwez akitoa matumiz yote kuanzia kula, kodi na kulipa waajili bdo benki anasave kam 1.3 adi 1.5Aisee mi kuna biashara nimeweka milioni 8 napata laki kwa mwezi faida sold ukiondoa mambo yote.... nimejisikia kinda kabisa kwako... hongera mkuu usikate tamaaa utapata returns nzuri be patient
Ungekua unabet, unaipa Simba double chance hukosi hata odds ya 1.10 kwenye 300mil unapata 330mil ndani ya dakika 90 tu.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Haya mambo kusimuliwa ni marahisi, ingia sasaKumbe? Nilikuwa nashangaa kwanini Mo ana magari mabovu sana.
Duuh...! Kama kwa mwaka haina haja. Yaani milioni 300 niwe nasubiria milioni 3 kwa mwezi mkuu. Mabank NMB na CRDB kitu kama wanafanya 9% kwa mwezi. Hebu ngoja waje hapa wajuzi wa hayo mabankKwa mwaka mzima mkuu
Cheti cha mfamasia ni chako ama cha mtu??Nina pharmacy nilifungua kwa mil 20 kwa mwezi napata faida 3.5m hapo nimetoa kila kitu Kodi mishaara ya wafanyakazi nk,wewe mil 300+ unapata mil 5 na bado haujatoa running cost!!!
Biashara yako kuna watu wanakupiga
Kwanini na ww usiwe kati ya hao siriaz?Mkuu haupo siriaz wakt kna watu million 6 kwa mwez akitoa matumiz yote kuanzia kula, kodi na kulipa waajili bdo benki anasave kam 1.3 adi 1.5
Thanks bro, kwangu huwa naamini mafanikio ni ile hali ambayo nimefika naweza kufanya wengine wakafanikiwa pia japo kwa kuwapa taarifa/ushauri juu ya kile ninachoweza kuwasaidia.Look at this so selfless fellow! Thank you for your selflessness. Priceless kabisa. Nashukuru sana. In your great education, Manpower hujaizungumizia apo kaka... You shall need engineers?
Dawa za kienyeji auHuyu hio mil 300 angeingixa kwenye Dawa angekuwa anaongea mengine muda huuu...!!
Duh ingekua 10m ingekua safi ila 5m ,benk marejesho yatafika kweli?Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Nipo kweny inner circle ya business flani Watanzania wengi still tupo usingizini sana.....Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Jf ni Engine ya maarifa for sure Kwa mambo mengi nimekua msomaji sana wa mada mbali mbali.....Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.