Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Afu kwenye biashara wengi wana shindwa kuwa na subira na uvumilivu mtu anataka awekeze hela mfano 300m afu miezi miwil tu awe karudisha 100m 200m utadhan rahisi jipe muda kwa mtaji wa m300 ukirudsha mtaji wote baada ya miaka 3-5 sio mbaya kikubwa kulinda mtaji
 
Cha ajabu anaibuka mtu anakwambia sjui milion50 sjui 100 kwa mwaka utadhan rahisi utadhan hao mabank wanafanya biashara ya nn sjui
Biashara ni kwa ajili ya risk takers la sivyo unaweza kuwehuka utakapoona mambo yameenda kombo.
Issue za fixed deposit kwa mtaji wa 300m faida yake ni ndogo sana
 
Aisee mi kuna biashara nimeweka milioni 8 napata laki kwa mwezi faida sold ukiondoa mambo yote.... nimejisikia kinda kabisa kwako... hongera mkuu usikate tamaaa utapata returns nzuri be patient
Mkuu haupo siriaz wakt kna watu million 6 kwa mwez akitoa matumiz yote kuanzia kula, kodi na kulipa waajili bdo benki anasave kam 1.3 adi 1.5
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Ungekua unabet, unaipa Simba double chance hukosi hata odds ya 1.10 kwenye 300mil unapata 330mil ndani ya dakika 90 tu.

Sasa kampuni gani itakubali mkeka wa stake ya 300mil hapo fanya utafiti, ukikosa kabisa basi gawanya mikeka 100 ya 3mil each kama utakua na huo muda.
 
Look at this so selfless fellow! Thank you for your selflessness. Priceless kabisa. Nashukuru sana. In your great education, Manpower hujaizungumizia apo kaka... You shall need engineers?
Thanks bro, kwangu huwa naamini mafanikio ni ile hali ambayo nimefika naweza kufanya wengine wakafanikiwa pia japo kwa kuwapa taarifa/ushauri juu ya kile ninachoweza kuwasaidia.

Back to the topic;
Kuhusu man power kama utaweza pata wasomi (professionals) ni nzuri zaidi lakini kwa uzoefu hizi kazi wanaofanya wengi ni form four leavers tu ambao wamejifunza na kupata uzoefu.

Japo wana weakness zao kwny kazi kutokana na kutokuwa na uwezo wa kupambana na changamoto mpya, mostly hizi kazi ni repeatitive in nature kwa hyo inawezekana katika muda wote aliojifunza kazi hakukutana na aina flani ya changamoto hivyo simply anakuwa ignorant kwny eneo husika.

All in all wanafanya kazi vizuri especially ukikuta aliyemfunza alikuwa vizuri na muhusika pia ni mtu wa kujiongeza na muaminifu pia maana hizi kazi vijana wengi wanaangukia kwny tamaa ya wizi. Ila kwa hali ya sasa bado unaweza kuwadhibiti through means km vile cctv cameras.

Watu hasa utaohitaji kuwa nao ni:
1. Mchomaji wa dhahabu
2. Vijana 4-8 kwa ajili ya kupakia na kushusha cabon, kufanya usafi etc
3. Mpishi (salary 150k - 200k per month)
4. Mlinzi (mostly ni wamasai) - around 150-200k per month.
5. Obvious itaongezeka gharama ya chakula cha kila siku from morning to evening (atleast 3 meals)

Hao #1&2 unaweza kuwalipa mshahara kati ya 250-300k per month then kila ukishusha mzigo unawapa posho lets say 20k each. Na miongoni mwao unateua supervisor wako hapo, kama hauko karibu unaweza kuwa na Manager pia kwa ajili ya kusettle issues za kiserikali na hizo agencies zingine wanapofanya visit au km kuna changamoto yoyote.
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Duh ingekua 10m ingekua safi ila 5m ,benk marejesho yatafika kweli?
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Nipo kweny inner circle ya business flani Watanzania wengi still tupo usingizini sana.....

Kuanzia KWENYE information na exposure za biashara...
Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Jf ni Engine ya maarifa for sure Kwa mambo mengi nimekua msomaji sana wa mada mbali mbali.....

Nipo kwenye sector ingine kibiashara Tena inner circle...kiuhalisia sisi watanzania Bado tumelala sana........
 
Back
Top Bottom