Penye miti hakuna wajenzi, hio mitaji ndio ya kuingia nayo forex kutengenez million 5 kwa siku kwa huo mtaji inawezekana kabisa. Ila ukiwa na laki laki hizi lazma unyooshwe. Hio $120,000 unabembea tu na gold ikishuka unashuka nayo ikipanda tu ni bingoTena hapo haulipi kodi wala pango kwa ajili ya fremu
Just him and his pc and phone
Masaa yake matatu kwa siku amemaliza kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote [emoji23][emoji23][emoji23]! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu[emoji23]!
Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
KabisaaWith no stress at all
Usicheke mama, nawaza naipateje ili niishi kama mtalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Amen amen bro!!
Selfishness is a form of immaturity, we you get to grow, one thing you understand is that maturity is all about helping others. Naamini kila mtu (including me) at a certain point in life alisaidiwa na mwingine, sasa kama watu wote wangebaki selfish na kile walichonacho duh sijui tungekuwa wapi wengine.
Cheza tatu mzukaUsicheke mama, nawaza naipateje ili niishi kama mtalii
Kiasi Cha chini kabisa kuwekeza bank ni sh ngapiKiuharisia biashara inahitaji roho ngumu aina. Ila kwa hiyo hela yako hupaswi kupata faida hiyo kwa mwezi. Kama ni hivyo ikusanye hiyo M.300 yote wekeza kwenye hisa za mabank. Kwa pesa hiyo utakuwa unapata return ya si chini ya Milioni 25 kila mwezi. Na hapo hakuna wa kumlipa,wala hakuna pressure hata kidogo. Unakula hiyo ukiwa umetulia tu nyumbani.
Naitamani sana hii biashara,siku nikipata tu mkwanja mrefu lazima nijitupie huko
Mkuu kuna vitu natamani kuvijua kabda sijachangia zaidi.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
hio unataka kupinga kuwa biashara za mabasi haziendeshwi kwa janja janja?Sumry ni uongo huo
Ali acha watoto wakawa wanaendesha kampuni
Pesa za marejesho hazionekani
Huyu ana pretend@Extrovert mpaka unamiliki m300 ushakuwa mkongwe kwenye bzns. Kwamba kakopa 300 au karithi?Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Hahaha aneza akawa ana baki ya 1.5m tuAkichomoka na m2 hapo ntampa kongolee
Anatuinjoy huyu jamaaHuyu ana pretend@Extrovert mpaka unamiliki m300 ushakuwa mkongwe kwenye bzns. Kwamba kakopa 300 au karithi?
Umeona ee. Mpaka unakamata 300 hata akili inakuwa ishakomaa hebu review thread's zake angalia akili yake.Anatuinjoy huyu jamaa
Hahahah sasa Yard umejaza ma Nissan xtrail used af unamtafuta mchawi😂😂😂Haya ya mganga sio kweli boss. 😅😂
Hela ndefu sana hiyoEeh mkuu, proper way ya kufanya biashara ni kupitia gawio la bonds sababu hela haipotei, una uhakika wa kulipwa 36M kila mwaka we unakuwa na presha gani tena?
Unanunua magaun kila week kwa frank knows na iphone macho matatu😂😂😂
Kimbembe kuipata hiyo billion🤣🤣🤣🤣Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote 😂😂😂! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu😂!
Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
Hela hiyo ikukute huna majukumu ya ada sijui ujenzi ndio utafurahia sana na mpenzio
Aisee hiyo trend naona matajiri wameianza.Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote 😂😂😂! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu😂!
Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu