Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Tena hapo haulipi kodi wala pango kwa ajili ya fremu
Just him and his pc and phone
Masaa yake matatu kwa siku amemaliza kazi
Penye miti hakuna wajenzi, hio mitaji ndio ya kuingia nayo forex kutengenez million 5 kwa siku kwa huo mtaji inawezekana kabisa. Ila ukiwa na laki laki hizi lazma unyooshwe. Hio $120,000 unabembea tu na gold ikishuka unashuka nayo ikipanda tu ni bingo
 
Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote [emoji23][emoji23][emoji23]! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu[emoji23]!

Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Amen amen bro!!


Selfishness is a form of immaturity, we you get to grow, one thing you understand is that maturity is all about helping others. Naamini kila mtu (including me) at a certain point in life alisaidiwa na mwingine, sasa kama watu wote wangebaki selfish na kile walichonacho duh sijui tungekuwa wapi wengine.

Thank you!

Am saving your username ... Kule Geita (Nimeishi huko) na Nyamongo (family member by adoption) ana elution plant hapo... The former (Geita) jamaa anachoma dhahabu and all sorts za gold dealing uyo singeweza kumtumia sana kwenye research yangu cause watu wananitaniaga nimuoe binti yake na yeye anakua kama ananipa heshima hiyo so nipo nam-save as possibly the last option to take... equally the later (Nyamongo) sipo confident sana na jamaa ... Nina watu wengi sana naoweza kuwatumia just in case nikihitaji seriously kuingia huko... Sema ndo ivyo you need to be so cautious and sharp cause wote at all times wana mkwaju in a close proximity and would not hesitate to use it at the slightest reason.

Mtu anayebeba weapon lethal one at that is prepared to take a life labda this is the reason as to why they are not very much normal na hawafunguki sana kama wewe hapa. I know the trick kuwaandaa kijanja kutap these knowledges should it necessarily come to that but until then... Let them be themselves!

Kumbe chunya huko ni shallow-soft mines unapata? so after all Geita na nyamongo is overrated sio???

Now nipo Dar earning bread there. But sitokaa nipapendage Dar. Mi napapenda sana Mwanza and the good thing is Mwanza is a great place to be a hub you can settle and depend to ukiwa in that field...

Apa nipo naandaa namna ya wisely to relocate na kujisubject myself kwenye huo upambanaji and other diversifications that could prove to be feasible and sound... Good thing is gems like you arent hard for me to find and for that iam so grateful... i appreciate you, Mkuu.

Please accept cordially my enlist soon, Papi! By that time you ofcourse going to be a BIG SHOT, PEZZONOVANTE and a great MENTOR

Unless you are planning to leave this field.
 
Eeh mkuu, proper way ya kufanya biashara ni kupitia gawio la bonds sababu hela haipotei, una uhakika wa kulipwa 36M kila mwaka we unakuwa na presha gani tena?
 
Kiuharisia biashara inahitaji roho ngumu aina. Ila kwa hiyo hela yako hupaswi kupata faida hiyo kwa mwezi. Kama ni hivyo ikusanye hiyo M.300 yote wekeza kwenye hisa za mabank. Kwa pesa hiyo utakuwa unapata return ya si chini ya Milioni 25 kila mwezi. Na hapo hakuna wa kumlipa,wala hakuna pressure hata kidogo. Unakula hiyo ukiwa umetulia tu nyumbani.

Naitamani sana hii biashara,siku nikipata tu mkwanja mrefu lazima nijitupie huko
Kiasi Cha chini kabisa kuwekeza bank ni sh ngapi
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Mkuu kuna vitu natamani kuvijua kabda sijachangia zaidi.

Ulichowekeza una kismamia mwenyewe?.
Ulichowekeza una maarifa nacho au uzoefu wakutosha?

Una muda gani toka biashara imeanza rasmi?.
 
Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote 😂😂😂! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu😂!

Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
Kimbembe kuipata hiyo billion🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote 😂😂😂! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu😂!

Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
Aisee hiyo trend naona matajiri wameianza.

Kuna jamaa yangu mmoja kaniambia bosi wao tajiri kafunga biashara zote ni mzee mmoja hivi, kauza maghorofa yake, sheli zake na kafunga kampuni yake yenye malori (na yenyewe kayauza yote). Kisha pesa kaipelekea huko BOT, UTT na account za benki zenye riba (mzigo flexi ile ya crdb). Yupo katulia zake yeye na watoto na wajukuu wala hana wasiwasi. Nahisi biashara sio lele mama na zina stress mno. Mpaka tajiri mkubwa kanyoosha mikono juu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom