Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Umesema milioni 5 faida.

Halafu bado hujatoa mishahara na gharama za kuendesha ofisi. Inakuaje faida sasa ?????

Wewe ni dunderhead kipeo cha pili, ndo maana biashara unakutia wazimu.
Anatupanga tu kk. Nimemuuliza hizo m300 amezipataje? Ni za urithi, ni mikopo au za wizi? Hajajibu. Ni kiwa na maana kama ni za hustle huwezi anza na laki kadhaa, tukafika m kadhaa then ukashindwa ku manage business ya 300. Coz mpaka unafika huko ushakutana na changamoto km zote na ukavuka na ushakuwa na connection yakutosha na ideas za biashara ndo usiseme so ht ikifell unajua uanzie wapi ku solve Sasa huyu hata hajui kakwama wapi afu anajikuta billionaire duh! Come on Jf.
 
Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%Γ—300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Umewah kuweka bond UTT au ulisoma matangazo yao tu mkuu??
 
Kwahio hela kuchoma account forex ni majaliwa[emoji23][emoji23][emoji23] hata akifungua position 10 za gold kwa lot size ya 3
Yani kuna watu wana bahati!

Mimi hapa nilipo nipate dola 120k kwenye account yangu ya trading? [emoji23][emoji23][emoji23]Kila mwezi naingiza milioni 20 tu inatosha na hiyo ni uhakika.
 
Hiyo return ni ya juu sana sielewi kwa nini unalalamika. Ume invest 300M returns kwa mwaka ni 60M ambayo ni karibia 20%. hamna biashara nyingine yenye such high returns. Hata treasury bills/bonds annual returns ni around 10%.
Mkuu unaijua biashara ya mabeli ya mtumba kweli? Yale ya kuagiza China, Dubai na kuja kuuza bongo?
 
Kama maisha yangekuwa rahisi hivyo.
 
Yani kuna watu wana bahati!

Mimi hapa nilipo nipate dola 120k kwenye account yangu ya trading? [emoji23][emoji23][emoji23]Kila mwezi naingiza milioni 20 tu inatosha na hiyo ni uhakika.
Sasa hivi unaingiza kiasi gani kwa mwezi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila we jamaa unaweza kufanya mtu ajione fala sana hapa duniani..
 
Bhana weee!

Aliesema huu msemo alikuwa na maana kubwa sana.
 
Ikoje hii? Mtaji kiasi gani unaweza kuanza nao?
Hio biashara ukiwa na 60M au zaidi unaanza. Kuna Mlebanon mmoja ana kampuni ya cargo haulage na malori yake ya transit nilikuwa nafanya accounting yard kwake ndio alikuwa anaagiza containers za viatu,nguo na bags zinashukia pale yard.

Wanazi grade upya kuondoa nguo mbovu ama viatu vibovu kisha zinaenda Congo zingine zinabakia bongo. Jamaa ana duka moja mjini ndio zinauzwa huko, wengine wanazifata yard.

Hio hela ni cost na clearance ya container inaingiza container ya bales 700 unakuta ni mixer ya clothes na bags ama clothes na shoes. Ila clothes ndio zinakuwaga nyingi around 700+200 shoes kwenye container.

Hela anayoingiza sio ya kitoto mzee, bales za nguo zinacheza kati ya Tzs 200,000 hadi 300,000 huku viatu ni 150,000 hadi 250,000...Huyu mwamba ni kichefu chefu ana kiburi kibaya sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ cha hela.

Hela inayoingia inaji double tu. Huo mtaji wa 60M unaweza kuzalisha mauzo ya 140M straight away. Sio story za kusadikika maana mie ndio niliokuwa nafanya accounts.
 
Vipi risk ya kuletewa mzigo mbovu?
 
Tembea uone ndugu Acha kukaa chumbani kwako ,

Kuna watu migodini wanaotea milion 500 na WAnataka watoke machimboni Mazima waje mtaani.

Kuna watanzania wameajiriwa nje ya nchi na mikataba imeisha wanarudi na milion 600 kwenye account.

Kuna wabunge wanastaafu Wanapewa kiinua mgongo cha milion 300+ na hawajui wafanye nini


Wewe endelea kuishi Manzese Kwa mfuga mbwa hujui yanayoendelea duniani.
 
Too good to be true but... Sikubishii inawezekana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…