Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Daah bado unaendelea mkuu kweli nyumba ya 300m isiwe ya ndoto ya Mtanzania...brother maisha unayoyazungumzia ni Watanzania wachache sana wapo hilo kundi nasisitiza sana...
Achana nae ana fake maisha. Sifa ya mfanya biashara au mjasilia mali yyt duniani ni kuheshim pesa. Kama m300 anaona sio pesa ya mana unafkiri atatoboa huyo?.. Moo mwenyewe laki anaiheshim
 
mkuu naomba uongeze nyama hapo kwenye namba 4 kwenye biashara ya Pipi Cash and Carry na Jumbo johannesburg

nahitaji kuifanya hii baishara ipo very moving
 
mkuu naomba uongeze nyama hapo kwenye namba 4 kwenye biashara ya Pipi Cash and Carry na Jumbo johannesburg

nahitaji kuifanya hii baishara ipo very moving
Maduka yapo eneo moja mkuu cash and carry,lipo lingine mbele ya Cash and carry ni la waturuki nyuma yake lipo Jumbo na Cash lingine haya maduka unanunua kwa VAT ya 14% na pia ukitaka kununua ili hiyo VAT urudishiwe unamtumia Mama mmoja ambae anakukata % kadhaa ili nae apate maji na wewe upate chochote kwenye ile VAT ambayo wewe utakuja kuilipa Tanzania...sehemu ya kufikia salama ni Fodsburg sio mbali na hayo maduka yalipo ntaweka address ya hotel nzuri na bei zao zipo vizuri mitaa hiyo chakula ni kwa wasomali huko huko...huwezi kushindwa kitu kwa maelezo haya unafika dukani.
 
Ndugu yangu mbona kama una makasiriko sana.
Tuhitimishe namna hii, Hiyo Hela sina na Wala sijawahi kuishika na hapa nimekuja kufake maisha Ili nipate umaarufu.

Nadhani hapo imekaa sawa na umeridhika
 
Unajua nimecheka

Kula mshahara raha jamani

Kwenye biashara kuna hela ni unajikopesha na irudi Kama ilivyo

Saa nyingine Bora kuajiriwa tu
Ila kwenye ajira kama utapata pesa nyingi hiyo kazi inakua ni mpela mpela
Si kitoto
 
,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mi nimemwambia anipe ml 30 tu nimletee 8 per month only 30 ml nitakuwa namletea retun as a profit ya 8 to 9ml hii si uchawi wala ndumba mzee ninachomwambia nina uhakika nacho na ndo biashara ninayoifanya kwa sasa sema kidogo mtaji wangu bado ni mdogo bt nimuhakikishie uyo jamaa kwenye biashara ninayoifanya mimi kama angewekeza iyo 300ml basi kwa mwezi faida yake baada ya kukata gharama za uzalishaji angekuwa anachukua 40 to 50 ml hii si uchawi wala ndumba naongea kitu ninachokifahamu coz mimi ndo iyo biashara nafanya sema ngoja kwanza niukuze mtaji siku moja nitarudi katika huu uzi na mrejesho mzuri juu ya uyu ndugu

Kanuni ya mjasiriamali mi moja tu wazee biashara yenye risk kubwa ndo inafaida kubwa mno na biashara yenye risk ndogo ujue na faida yake itakuwa ni ndogo sana ssna
 
Jamaa nimemfatilia mda mrefu na baadhi ya shughuli zake nazijua pale morogoro but ni exaggerater mzuri Sana toka anauza vinywaji. . Shida humu jf coz hatufahamiani basi mtu anaweza post chochote bila kujua akijua hatofahamika
Wewe jamaa ni muongo balaa umeona post yangu ya kufuatilia uwakala wa vinywaji ambao ilikuwa nifungue morogoro lakini mazingira yakanilazimu nifungulie mwanza.

Na Bado sijaifungua Niko kwenye hatua za mwisho za kupata uwakala Ili makampuni ya vinywaji yaweze kuniletea mzigo japo miundombinu yote tayari, na nikisema hapa gharama niliyotumia unaweza kujinyonga kabisa, hapo morogoro sijawahi kufungua biashara japo nilitamani iwe hivo

Wewe ungekuwa unanifahamu usingeongea huu upuuzi kaka, hapa unaongea Kwa makasiriko tu na kiwivu zaidi na kujifanya unanijua sana, najua umepitia post zangu zote za nyuma umeshindwa kupata hata thread Moja itakayosaidia kutetea hizi hoja zako za kiwivu.

Imekulazimu uje na hoja ya kunijua.

Wewe umenifahamu wapi na lini?huu wivu ungeuhamishia kwenye utafutaji ungekuwa mbali sana.

Mimi nimeshakueleza tufanye kama hizi Hela sina na nimeleta Uzi Ili kupata umaarufu kama usemavyo Ili uridhike na hii mada tuifunge

Anyway uwe na usiku mwema mzee.
 
apo ukianza ajiri vijana waliojifunika sura ya kondooo ... kidogo kidogo wanaanza kuwa ka chama fulani ivii chenye ukoo wa panyaaa .... wanakutafunaaa bila aibuu
Huu ni ukweli wa wazi kabisa
 

Ila wabongo wanakujaga na gear kubwa mwisho wa siku Utasikia yani Mkuu Acha tu kisichi riziki
 
Biashara gani kichaa hiyo? Sasa ukilipa wafanyakazi hautahesabu hasara hapo?
 
Sasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni?
Inategema biashara
 
Siku nyingine ukipata hiyo 300mil unitafute kamwe hutojutia kuiwekeza nitakacho kushauri.
Nb.kama hutaki stress za maisha wekeza kwenye ardhi. Na sio kila ardhi ni ya kuwekeza, tunaangaliaga sehemu na sehemu unaweka pesa zako unakaa kimya, wenye pesa wanakutafuta wenyewe.

Polee, kwakuwa ushaanza usikate tamaa kipindi hiki pesa hakuna, hata na matajiri wakubwa siku hizi wanasuasua, wanasema hela imekuwa ngumu, haka ka upepo katapita utasimama.
 
Ila wabongo wanakujaga na gear kubwa mwisho wa siku Utasikia yani Mkuu Acha tu kisichi riziki
Weww akili huna mzee kama unayo iyo ml 30 njoo tiandikishane mbele ya wana jf wenzetu wewe unikopeshe iyo ela alafu baada ya miezi 6 ya uzalishaji wewe mwenyewe utarudi apa kutoa ushuhuda mavi mmoja wewe laa sivyo kama huna izo ela ninazozungumzia basi piga kimya na sio kuleta ujuaji kwenye kila jambo mimi ninachokiongea nakijua na biashara ninayoiongelea mimi ndo naifanya ni vile tu mtaji wangu bado ni mdogo sana lakini potentiala ya iyo pesa ipo kama unayo njoo unikopeshe mzee kisha kaa nyumbani baada ya miezi minne ya uzalishaji uanze kula ml8 kila mwezi mzee wangu wala usiogope tuandikishane popote pale mahakamani kwa wanasheria mbele ya wana jf ama nini mind
 
We jamaa...

4mil kama uliiiweka bank mwaka 2019 unakuja kuitaoa leo 2022 unajuwa thamani ya pesa yako imepunguwa kwa kiasi gani ??

Inflation kabla ya corona hafi corona mpaka leo!!!,

Tozo yakutoa 4mil ni kiasi gani leo ??

Bidhaa za chakula / huduma zimeongezeka kwa kiasi gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…