Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Anakuaje mkuu?
Pia acha makasiriko ningekuwa nakufahamu ningekutoa out leo at least ungepata wivu wa kutafuta hela
Siyo makasiriko mkuu, najiuliza tu huyu mwenye 300m anaishia kupata 5m atakuwa na akili kweli?
 
Siyo makasiriko mkuu, najiuliza tu huyu mwenye 300m anaishia kupata 5m atakuwa na akili kweli?
Tunatofautiana akili boss, inawezekana kweli nikawa sina

Nadhani wewe nyingi una miradi inayoingiza faida kubwa sana
 
Sana! Tell me about it, Amigo!
Sasa hapo kuna mambo kadhaa yanaweza kuwa na utofauti kutegemeana na hasa eneo unalotaka kufanyia kazi.

Nb:
Sifanyi personally ila nahusiana nayo indirectly na nna jamaa yangu wa karibu sn ambaye tunafanya naye kazi ambaye anamiliki elution machines/plant, hivyo nna experience ya kutosha kukupa ABCs zake.

Nitaongelea kwa uzoefu wa Chunya:

1. Unaweza kujenga ama kupanga jengo ambalo tayari limejengwa ama kununua kabisa the full project ukipata mtu anayeuza au ukimpa mtu ofa atayoridhia maana kwa Chunya zipo nyingi tu.

2. Kama ni kujenga, unanunua eneo (kuna eneo lililotengwa kwa hizo mishe) unafata taratibu zote za vibali nk then utajenga jengo pamoja na miundombinu yote kama godown, ofisi, vyumba vya kulala, jiko, stoo, toilets, mifumo ya taka nk. Sina actual cost za ujenzi ila itategemea na unataka pawe na muonekano gani zaidi ndio itatoa gharama halisi. Hilo ni jengo tu mbali na machine za kuchenjulia.

3. Kwny kukodi mara nyingi ni kati ya 12m-15m per year, yaan hapo unakuta jengo liko na facilities zote then we unafunga mashine zako unaanza kazi.

4. Kuna taratibu za kufata pamoja na gharama za kulipia kuanzia halmashauri, Tra, NEMC na OSHA.

5. Gharama za machine pia hutofautiana kutkana na ufanisi wake. Mfano za huyu mwanangu zilikuwa around 60m kwa machine 2.

Baada ya kukamilisha hapo labda kingine cha kujiuliza unatarget wateja waje kufanyia kazi kwako au unataka kuchenjua mizigo yako mwenyewe?

Kama ni wateja kuna namna ya kuwa-tap ili wafanyie kazi kwako (hili sitaweka maelezo hapa sabab ni siri ya kazi ya jamaa yangu) ila ukiwa serious ntakusaidia namna ya kuenenda.

Pia unaweza kuwa unanunua makapi yaliyokwisha kuchenjuliwa kwny machine zingine na ukayapima ukaona bado unaweza kupata chochote pia ni fursa, ila hii inategemea na ufanisi wa machine zako maana zinatofautiana kiasi kwamba output ya machine moja inaweza kuwa input kwny nyingine.

Atleast utakuwa umepata mwanga mkuu.
 
Mkuu jitahidi kuziba mianya ya upigaji....maana waajiriwa wanakuwaga sio waaminifu
 
Bwana Manzile faida kwako unaielewaje?
Maana umesema umepata faida lakini tena unasema hapo ni kabla ya kutoa gharama zingine kama mishahara n.k
Maana faida is the gain after deducting other costs
 
Nadhani hii inatokana na eneo uliloamua kuwekeza...na namna ulivyowekeza,maana wengine hiyo milioni tano wanapata kwa uwekezaji pungufu sana na hapo...mimi naamini katika kufanya uchunguzi yakinifu sana kabla ya kuanza jambo lolote,labda ungeweza kuyajua baadhi ya mambo muhimu katika eneo uliloamua kuwekeza ungejiepushia mambo fulani,japo kuna changamoto nyingine ambazo huwezi tarajia.
 
Route ya mwongo huwa fupi sana 😂 wastani wa laki 5 kwa siku ni Mil 15 kwa mwezi.

Hapa kabadili gear kadai ni 3.5M kwa mwezi, deviation ya 11.5M kutoka kwenye madai yake ya awali 😂.

Waswahili sie nyoko mno manina 🤔
😄😄😄😄 Mkuu hio deviation ya 11.5m tunaweza kuiita Ni TECHNICAL kitu gani? Suggest jina chief
 
Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Umenunua bus nini
 
Bwana Manzile faida kwako unaielewaje?
Maana umesema umepata faida lakini tena unasema hapo ni kabla ya kutoa gharama zingine kama mishahara n.k
Maana faida is the gain after deducting other costs
Hapo nimekosea mkuu, ngoja nipaedit
 
Naona mwanzo tu. Kingine naona biashara yako ni risk free ungeingia kweny risk kubwa ungepata kikubwa mfano hyo pesa kweny madini unaweza kushika mara 3 kwa mwaka sema ni risk sana kuuziwa makapi ya madini au madini yaliyoungua na wajanja ,majambazi hata kuuliwa .
kuzungumzia madini ni very simple ...ila sasa ingia ucheze mwenyewe huo mziki
 
Inategemea na aina gani ya uwekezaji na strategy zako za market zipoje. Kwa mfano ungewekeza kwenye real estate mfano kuuza viwanja,hio pesa ungepata zaidi ya milioni 20 kwa mwezi, au govment bond, au plant ya kusaga kokoto KILA siku watu wanajenga ungeingiza pesa nyingi zaidi za bila pressure.
 
maelezo hayajanyooka hyo 5m ni sales au profit ya kwamba kila mwezi unauza mil 305?biashara ina muda gani maana itabidi urudishe hiyo 300m ndio uanze kuhesabu faida kitu ambacho kinahitaji patience na muda mpaka miaka 2 mpk 5 kutegemea biashara na eneo
Biashara Ina mwezi mmoja
 
Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Ili uiite ni Faida, toa kwanza matumizi yote(mishahara, tozo zote za nchi, gharama ya uendeshaji).

Hongera sana kwa uthubutu, mwanzo mzuri usitake kupata faida nyingi kwa wakati mmoja, kila kitu kina hatua ili kifikie sehemu fulani.

Ipe muda na imanage kwa nguvu zote itakubali tu.
 
Naona mwanzo tu. Kingine naona biashara yako ni risk free ungeingia kweny risk kubwa ungepata kikubwa mfano hyo pesa kweny madini unaweza kushika mara 3 kwa mwaka sema ni risk sana kuuziwa makapi ya madini au madini yaliyoungua na wajanja ,majambazi hata kuuliwa .
Hata zaidi ya bilioni 10 kwa mwaka unapata kwenye madini,unapiga fully yaani madini ya matani na ya gram pia.Inayokata pesa ni madini ya gram.Matani uhakika pesa inarudi.
 
Hio m 300 kwa Black market business unaingiza zaidi ya hio kwa mwezi.
 
😄😄😄😄 Mkuu hio deviation ya 11.5m tunaweza kuiita Ni TECHNICAL kitu gani? Suggest jina chief
😂😂😂

Noma sana mkuu, biashara nyepesi mno ukisimuliwa. Kuna watu wakikupa maelezo kabla hata ya kuanza biashara unaweza tafuta architect akupe design ya bonge la Villa utakalojenga mda mfupi baada ya kuanza biashara.

Kuna maelezo ukipewa unaweza ona wote wanaokutana na changamoto kwenye biashara hizo ni wapumbavu hawajielewi. Biashara ina mambo mengi.

Ku'create demand ama kutafuta demand ili ujihusishe na supply (ambayo ndio biashara yenyewe) sio kazi ndogo. Inahitaji umakini na akili iliyotulia.

Leo nitakupa wazo la samaki kua zinalipa kumbe zinalipa kwa eneo tu nililopo hapa kwa huko uliko huenda mitende ndio inalipa zaidi. Ukifata wazo langu la samaki dk zero unabwaga manyanga 😂
 
Back
Top Bottom