Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Kwa hiyo hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
UTT wanatoa asilimia 1% kwa mwezi. Kwa uwekezaji wa mil.300 angevuna milioni tatu kwa mwezi.
 
Haujasema ni biashara gani
Nyingine tunajua faida inakua kulingana na muda .
Ila kama una mwaka kwenye hiyo biashara na flow ya 5M per month , shut it down
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Mwanzo..?
 
Kama hutaki stress, ukiwekeza hiyo 300m kwenye treasury bond ya 20years kwa interest rate ya 15.49% utakuwa unapata around 3.8m kwa mwezi. Hii interest haikatwi kodi yoyote..!
 
Biashara Ina hatua nyingi sana mpaka uone faida nzuri kikubwa 1.usikurupuke kuanzisha biashara fanyia utafiti biashara unayotaka kuinzisha angalia hasa upatikanaji wa wateja,angalia washindani wako hasa bei na ubora wa bidhaa au huduma zao,biashara yenye huhitaji wa wateja wengi Ina nafasi ya kukupatia mafanikio ukiiwezea.
2.Usidumbukize mtaji wote kwenye biashara Moja ,Anza na mtaji kidogo wateja waanze kukujua wateja wanavyoongeza nawe ongezea mtaji kidogo kidogo.
3.Aina ya biashara,tafuta biashara itakayohitaji kuanza na mtaji mdogo usichague biashara kubwa usio kuwa na uzoefu nayo .

Mwisho mtaji wa tsh 300m kama unatoa tsh 5m faida kwa mwezi gross profit unao mda wa kujipanga upya kwa kuangalia ni namna gani ufanye kuongeza faida kama huoni mwanga wahi kuivunja hiyo biashara ujipange upya kabla mtaji haujaanza kukata,

Kila la kheri
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Biashara sio hela....ni akili.
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Nini kilikusukuma kuwekeza kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom