Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
5 million ni gross sio net, amesema hata wafanyakazi hajawalipaMil 5 anayopata ni 20%, hawezi kupata hiyo return kokote huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5 million ni gross sio net, amesema hata wafanyakazi hajawalipaMil 5 anayopata ni 20%, hawezi kupata hiyo return kokote huko.
UTT wanatoa asilimia 1% kwa mwezi. Kwa uwekezaji wa mil.300 angevuna milioni tatu kwa mwezi.Kwa hiyo hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
...kwa muda ganiKwa hiyo hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
15-25 years...kwa muda gani
Kwahiyo ukiweka 100 Kwa mwezi unapata 1 tu😂. Hivi unaweza kunitumia hiyo pesa uliyoweka huko kukopea benki au hakiwezekani?Inakuwa moja.
Kaka ushakua motivational speakerKwa hiyo hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Mwanzo..?Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Hiyo kwangu Sio biashara, ni sehemu na yotunzia akiba yangu.Kwahiyo ukiweka 100 Kwa mwezi unapata 1 tu😂. Hivi unaweza kunitumia hiyo pesa uliyoweka huko kukopea benki au hakiwezekani?
Biashara sio hela....ni akili.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Au alime bange...Rwanda wanalimaYes.....
Ukitaka biashara ya kukutajirisha maradufu fanya uharamia
Nini kilikusukuma kuwekeza kiasi hicho?Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sijafikia huko mi ni consultantKaka ushakua motivational speaker