Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

Hii

NMBBonus Account, akaunti maalumu ya kuweka akiba kwa ajili ya malengo yako ya muda mrefu. Akaunti hii inakupa mpaka asilimia 13* ya faida kila robo ya mwaka.
Katika hii account unaruhusiwa kutoa fedha mara moja tu katika miezi mitatu au ukasubiri na kupata gawio lako Kila baada ya miezi mitatu. Sema hii bonus account ni nzuri Kama unaweka mzigo mkubwa Kama million 500 , billion 1 au zaidi
Nchi Hii Ngumu Sana,Yani watu wanaongelea mtaji wa laki 5 we unaongelea kuweka 500m bank ili upate bonus [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
 
Hpn ,,ipo hivi ukipanga jengo la biashara mfano lak5 tra wanachukua 10% ya ulichomlipa mwenye jengo...kwhy mwenye jengo utampa laki4.5 halafu 50k unawalipa TRA Ndio Kodi ya jengo..km laki6 TRA Tozo jengo utawalipa 60k na mwenye jengo atachukua 540k.
Aah withholding tax kwenye majengo, hii kodi sku hizi inafuatiliwa kumbe?
 
Nchi Hii Ngumu Sana,Yani watu wanaongelea mtaji wa laki 5 we unaongelea kuweka 500m bank ili upate bonus [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Ili upate bonus ya 13% kiuchumi haiingii akilini, kwenye investments ungeweza pata faida kubwa zaid kuliko pesa kwenda kuirundika
 
Mpaka sasa nipo katika biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nina uzoefu kiasi chake ila nilichojifunza cha kwanza elimu inahitaji Sana katika ufanyaji wa biashara. Kuna umuhimu mkubwa ata serikali kuanzisha mitaala ili watu wapate elimu juu somo hili

Biashara nyingi bado nazoziona hasa hizi ndogo ndio vijana wengi wanaotoka chuo nimeona wanazifanya lakini nyingi hazikui

Mitaji ya kuanzia laki 8 mpaka million 2

Wengi nimegundua wanacheza na biashara zenye kuingiza faida ya Tsh 20000 akijitahidi Sana ni 30000. Sasa kama unaingiza elfu 20 kwa siku kwa mwezi utaingiza laki sita pesa ambayo haiwezi kukuza mtaji wako

Mfanyabiashara ambaye anaingiza faida ya elfu 30 kwa mwezi atakuwa na uhakika wa kuingiza laki 9 kwa mtaji alionao itaonekana bado ni pesa kubwa lakini tuangalie matumizi yake kwa mwezi ni laki 6 atasevu laki 3 kwa mwaka ataingiza faida ya mil 3.6 bado ni faida ndogo Sana kuweza kukutoa kimaisha

Nilichojifunza wafanyabiashara wengi wenye mitaji midogo wanakosa ni elimu bado wengi wana ile hali ya kujibana kwenye matumizi yao binafsi lakini hawafikiri kuzalisha zaidi faida. Mfanyabiashara ukifikiria kujibana ndio kukuza mtaji unakosea utashindwa kuruhusu akili nyingine ya kuzalisha zaidi faida kwenye biashara unayofanya ama chanzo kingine cha kipato

Angalia sasa kama utaweza kuingiza faida ya elfu 50 kwa siku kwa mwezi utaingiza mil 1.5 matumizi yako binafsi laki 7 utaweza sevu kila mwezi laki 8 kwa mwaka mmoja tu utakuwa umepata faida ya mil 9.6
Mtaji wa milioni tano unaweza kuingiza elfu 50 bila kupepesa macho
 

Bonus Account​

On top of a basic interest, this account has an additional attractive and competitive quarterly paid bonus interest.

Benefits of Bonus Account

  • Offers interest of up to 13% per annum*
  • Interest accrued daily and paid on quarterly basis
  • Enjoy Bonus Interest over and above Basic Interest
  • Saving can be used as a lien to acquire a personal loan
  • Gives access to over 215 branches countrywide
  • Customer money are safe and secured
  • Eligible for free NMB Identity card
  • No monthly maintenance fee
  • One withdraw per quarter without losing Bonus Interest
  • Free cash and on us cheque deposit
Nzuri hii
 
Tupe strategies sasa za kutoka faida ya 30k mpaka tufike 50k... Nauliza on behalf of the others
Inawezekana kupata zaidi ya 50 endapo utabadilika mtazamo,kukariri biashara,pia focus kuboresha biashara ulionayo,mm ni wakala wa mpesa na huduma zingine za pesa mtandaoni,nimefunguka ofisi eneo ambalo ni kijiji ambako kuna pop.kubwa,nimetafuta line za lipa kwa mpesa,lipa kwa tigo,miamala yote ya kutoa pesa natoa kupitia line za lipa,faida ya maeneo ya pembezoni wateja wengi ni wale wanaotoa pesa kwani wanatumiwa na ndugu wa mjini,wateja wengi wanampa wakala simu ndio atoe hela,n.k sio haba ni sikosi 75000- 100000 kwa siku
 
Mtaji wako ulioinvest?
Inawezekana kupata zaidi ya 50 endapo utabadilika mtazamo,kukariri biashara,pia focus kuboresha biashara ulionayo,mm ni wakala wa mpesa na huduma zingine za pesa mtandaoni,nimefunguka ofisi eneo ambalo ni kijiji ambako kuna pop.kubwa,nimetafuta line za lipa kwa mpesa,lipa kwa tigo,miamala yote ya kutoa pesa natoa kupitia line za lipa,faida ya maeneo ya pembezoni wateja wengi ni wale wanaotoa pesa kwani wanatumiwa na ndugu wa mjini,wateja wengi wanampa wakala simu ndio atoe hela,n.k sio haba ni sikosi 75000- 100000 kwa s
 
Hii

NMBBonus Account, akaunti maalumu ya kuweka akiba kwa ajili ya malengo yako ya muda mrefu. Akaunti hii inakupa mpaka asilimia 13* ya faida kila robo ya mwaka.
Katika hii account unaruhusiwa kutoa fedha mara moja tu katika miezi mitatu au ukasubiri na kupata gawio lako Kila baada ya miezi mitatu. Sema hii bonus account ni nzuri Kama unaweka mzigo mkubwa Kama million 500 , billion 1 au zaidi
Laki tano kila mwezi ukiweka ailipi bila kutoa kwa mwaka mzima
 
Hapana, ipo hivi ukipanga jengo la biashara mfano laki 5 TRA wanachukua 10% ya ulichomlipa mwenye jengo... kwahiyo mwenye jengo utampa laki 4.5 halafu 50k unawalipa TRA Ndio Kodi ya jengo.. kama laki 6 TRA Tozo jengo utawalipa 60k na mwenye jengo atachukua 540k.

Hiyo 540,000 ni kodi ya mwaka au ya mwezi mi sijaelewa
 
Back
Top Bottom