Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

Nchi Hii Ngumu Sana,Yani watu wanaongelea mtaji wa laki 5 we unaongelea kuweka 500m bank ili upate bonus [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
 
Hpn ,,ipo hivi ukipanga jengo la biashara mfano lak5 tra wanachukua 10% ya ulichomlipa mwenye jengo...kwhy mwenye jengo utampa laki4.5 halafu 50k unawalipa TRA Ndio Kodi ya jengo..km laki6 TRA Tozo jengo utawalipa 60k na mwenye jengo atachukua 540k.
Aah withholding tax kwenye majengo, hii kodi sku hizi inafuatiliwa kumbe?
 
Nchi Hii Ngumu Sana,Yani watu wanaongelea mtaji wa laki 5 we unaongelea kuweka 500m bank ili upate bonus [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Ili upate bonus ya 13% kiuchumi haiingii akilini, kwenye investments ungeweza pata faida kubwa zaid kuliko pesa kwenda kuirundika
 
Mtaji wa milioni tano unaweza kuingiza elfu 50 bila kupepesa macho
 
Nzuri hii
 
Tupe strategies sasa za kutoka faida ya 30k mpaka tufike 50k... Nauliza on behalf of the others
Inawezekana kupata zaidi ya 50 endapo utabadilika mtazamo,kukariri biashara,pia focus kuboresha biashara ulionayo,mm ni wakala wa mpesa na huduma zingine za pesa mtandaoni,nimefunguka ofisi eneo ambalo ni kijiji ambako kuna pop.kubwa,nimetafuta line za lipa kwa mpesa,lipa kwa tigo,miamala yote ya kutoa pesa natoa kupitia line za lipa,faida ya maeneo ya pembezoni wateja wengi ni wale wanaotoa pesa kwani wanatumiwa na ndugu wa mjini,wateja wengi wanampa wakala simu ndio atoe hela,n.k sio haba ni sikosi 75000- 100000 kwa siku
 
Mtaji wako ulioinvest?
 
Laki tano kila mwezi ukiweka ailipi bila kutoa kwa mwaka mzima
 

Hiyo 540,000 ni kodi ya mwaka au ya mwezi mi sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…