Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah acha tu nduguDah sio kwa majibu haya
Kati ya hizo nilizozitaja mm hapo ipi Ina uboraPika supu ya kichwa cha ng'ombe inalipa na uje kunishukuru baadae.
Kati ya hizo nilizozitaja hapo ipi ina afadhaliDuka la dawa za Binadamu. Shelves zijae Azuma,P2,Panadol,Condoms
Phone accessories, weka na Computer ya kuingiza nyimbo na movie hapo utaona mzunguko wa mitipula/pesaKati ya hizo nilizozitaja hapo ipi ina afadhali
Shukrani sana ndugu vipi ukizilinganisha hizo mbili phone accessories na underwear, viatu vya kike .......kwa mitaa ya kawaida ambayo sio uswahiliniPhone accessories, weka na Computer ya kuingiza nyimbo na movie hapo utaona mzunguko wa mitipula/pesa
Inategemea na mahitaji ya wenyeji kwenye kila mtaaWakuu wa JF
Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
Weka accessories betry, memory, flash, card reader, usb, chaja protecto, airphones, na vingine ambavyo sijavitaja hakikisha unaweka bei rafiki sio kubwa sana wala ndogo sana maana ukiweka ndogo sana watasema ni fakeWakuu wa JF
Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
Kwahyo hapo bora nin broKama ndio unaanza, usijaribu pochi wala nguo. Watu wa uswahilini hawanunui
Vipi biashara ya hizo underwear, pochi /mikoba, viatu vya kike , slippers na sandles ....hii changamoto yake nin hasa Mkuu?Weka accessories betry, memory, flash, card reader, usb, chaja protecto, airphones, na vingine ambavyo sijavitaja hakikisha unaweka bei rafiki sio kubwa sana wala ndogo sana maana ukiweka ndogo sana watasema ni fake
Sikushauri uweke kava za simu kubwa labda viswaswadu kava ni biashara kichaa sana
Sawa Mkuu ni sehemu ambayo ina population sio haba hapo ni maisha ha kipato Cha kawaidaInategemea na mahitaji ya wenyeji kwenye kila mtaa
Je ni wenyeji pekeyao?
Je wana muingiliano na wageni/wapita njia?
Je kuna shughuli nyingine za kiuchumi karibia? Kama
Bar.. Pubs guests nk
Viwanja vya michezo
Taasisi za elimu
Stand za magari
Viwanda vidogo vidogo nknk