Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Inategemea na mahitaji ya wenyeji kwenye kila mtaaWakuu wa JF
Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
Je ni wenyeji pekeyao?
Je wana muingiliano na wageni/wapita njia?
Je kuna shughuli nyingine za kiuchumi karibia? Kama
Bar.. Pubs guests nk
Viwanja vya michezo
Taasisi za elimu
Chupi hasa za kike.. Ni hitaji kubwa sana hilo na mtaji ni rafikiSawa Mkuu ni sehemu ambayo ina population sio haba hapo ni maisha ha kipato Cha kawaida