Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

Wakuu wa JF

Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
Inategemea na mahitaji ya wenyeji kwenye kila mtaa
Je ni wenyeji pekeyao?
Je wana muingiliano na wageni/wapita njia?
Je kuna shughuli nyingine za kiuchumi karibia? Kama
Bar.. Pubs guests nk
Viwanja vya michezo
Taasisi za elimu
Sawa Mkuu ni sehemu ambayo ina population sio haba hapo ni maisha ha kipato Cha kawaida
Chupi hasa za kike.. Ni hitaji kubwa sana hilo na mtaji ni rafiki
 
Shukrani sana Mkuu
 
Duu mbona kava zakimbia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…