Biashara ipi rahisi kuiendesha hata ukiwa mbali?

Nyumba ya Kupanga, visit once in 3 months.
Nyumba za kupanga ni uwekezaji mzuri ila mapato yake huja taratibu sana.

Uwekezaji na Biashara ni vitu viwili tofauti, kama sikosei.

Biashara ina risk kubwa lakini ndiyo njia mojawapo ya kupata hela nyingi haraka!

Uwekezaji upo slow lakini mara nyingi risk yake ni ndogo ukilinganisha na biashara. Uwekezaji ni kama vile mahali pa kuhifadhia fedha baada ya kuzichuma kutoka kwenye vyanzo vingine vya fedha kama biashara.
 
Tafuta zako kasehemu kanakokua watu wanajenga jenga weka hardware plus kufyatua tofali ukioata na kasehemu kaliko changamka weka money transaction yako hapo
🙏🙏🙏
 
Usikatishe watu tamaa. Mfano mfanyakazi wa kuajiriwa asiweke biashata nje ya kazi yake..?
 
Hapo weka hela yako huko UTT Amis au mifuko mingine ya hati fungani kama vile Zan Securities; faida kwa mwaka ni takribani 12%

Hivyo kwa 50 M kwa mwaka unakuwa na takribani 6,000,000/-
 
Mkuu uko sahihi sana, atakayepinga hili atakua analeta ujuaji tuu
 
Usifanye utani wewe acha ujinga hzo hela peleka bank ukanunue hisa Ata UTT , hakuna biashara inayokufaa Ata moja ya kumuacha mtu kama unabisha muachie mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…