Biashara niliyofungua Aprili 2022 nimeifunga Agosti 2024

Hio bila vibali ni kama biashara ya bangi
 
Point yako niliyochuka ni kwenye usimamizi. Hii dunia usipo jipanga unapangwa aisee.
 
Vijana wa kikristo wanaingiaje hapa.?
Au unataka tukuletee testimony za hao unafikiri ni waaminifu sana??
Yule Kimaro aliongea out of his personal sentiments.
 
Pol
Pole mkuu ukianguka utainuka tena.
 
Acha kusingizia mke ndugu. Biashara hujui omba kufundishwa na ufundishike.
Umeoa?? Mke wako anajali pesa unayoitafuta, na anakusikiliza nini unataka kifanyike kwenye biashara yako? Kama wako hana shida izo Hongera.
Mimi mke wangu alienda kuchukua feni , viti ,taa ya ofisi yangu na kupeleka ofisi kwake nikiwa sipo.
 
2022‐2024 umejitahid sana fanya uwezekano urudi upya . Mimi nilikurupuka nilikimbia baada ya miezi 3 na kodi nikaacha. Biashara is noti for everybadi
Mkuu ndani ya iyo miaka nimefosi sanaa kuna kipindi kodi hamna, yaani nasubiri mshahara nilipie chumba, af vijana wasumbufu kuna muda hafungui ofisi kwa wakati.. ukimwambia anasema boss mkali mimi naacha kazi
 
Hali ya kukaa mbali na biashara yako haitakiwi, ni mwiko kwamfanyabiashara kuwa mbali na eneo lako, hii ilinicost ila ntajipanga upya
 
Asante but unaweza kunipa sababu ya msingi kwa vijana w kikristo kuwa ivyo?
Biashara yangu walipita vijana wanne waislam na mmoja mkristo ila wote walinipiga, walikosa uvumilivu, na wengne kunitapeli.
 
Hii kama mimi mzee, wateja anawatafuta inbox na kuwatukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…