Biashara niliyofungua Aprili 2022 nimeifunga Agosti 2024

Asante but unaweza kunipa sababu ya msingi kwa vijana w kikristo kuwa ivyo?
Biashara yangu walipita vijana wanne waislam na mmoja mkristo ila wote walinipiga, walikosa uvumilivu, na wengne kunitapeli.
Dukani kwako uliweka cctv camera,Mimi mwanzo walinisumbua ila nikaweka hiyo na kuwapa masharti dukani hata ikipotea mia nakata mshahara wote,kwa sasa nakaa hata week nikifika hesabu zimenyooka kama Rula.
 
Umeoa?? Mke wako anajali pesa unayoitafuta, na anakusikiliza nini unataka kifanyike kwenye biashara yako? Kama wako hana shida izo Hongera.
Mimi mke wangu alienda kuchukua feni , viti ,taa ya ofisi yangu na kupeleka ofisi kwake nikiwa sipo.
chunguza vizuri huwenda alikua anakusaidia kwa namna moja au nyingine kashaona biashara hujui na inajifia huku rasilimali umezikalia
 
mzizi wa mada naona uneshushia lawama hapo
Mimi nimeona kaeleza point kadhaa na hta hiyo ya mkee hajaeleza sana ila wachangiaji wengi unfortunatelly kumbe wamekutana na sababu hii kama kikwazo kwao probably ndio maana uzi ukajikuta ume stick hapo, ula mleta mada kwenye uzi wake kajitahid sana ku balance mizani
 
Nilikutana na changamoto kama yako ila Mimi sijafikia kufunga biashara

Ushauri wangu kwako ni huu
1) Hakikisha unafungua biashara jirani na unakoishi au kama hilo ni gumu basi iwe katika njia yako ya kuenda kazini na kurudi

2) Hakikisha Kila unapopata mda unakaa katika biashara yako na kushiriki kuuza itakusaidia kuifahamu vyema biashara yako na kijua ni bidhaa ipi ambayo inatoka sana na haitakiwi ikauke nyumbani

3) Tafuta kijana ambaye bado hana majukumu ya kifamilia hasa biashara inapokuwa changa huko mbele ya safari utujua la kufanya

4) Sijui ndoa yako ipo vipi ila kama ipo vizuri ukimshirikisha na mkeo katika biashara yako ni vizuri sana wanawake wanauwezo mkubwa sana wa kuwachunguza wafanyakazi wa Dukani kwako

5) Kama mda unao uwe fungua na kufunga mwenyewe biashara yako Kila siku

6) Usimuamini Kwa 100% kijana unayemuweka Dukani kuuza biashara yako ikiwezekana weka camera
 
Ushauri mzuri Sana hakika
 
Habari za majukumu wana JF,

Leo naleta mada hii iwe kama funzo kwanaotaka kuanza biashara au wanaofanya biashara.

Nianze kwa kwakusema biashara inaitaj mtu uwe na roho ngumu yaani usiwe na huruma.
Mambo yaliyochangia kufunga biashara Yangu:

1. Uaminifu. Binafsi ni mtumishi wa serikali, hivyo nahitaji kuwa na mtu/kijana atakaeweza kusimamia biashara, lakini kwenye biashara yangu ilikua ni mtiti, vijina sio waaminifu karne hii, ikitokea umewagundua tu wanachukua chao na kusepa. Na wanasepa kwa kukupa hasara.

2. Changamoto za mahusiano zilivuruga biashara yangu. Waswahili wana kwambia kosea vyoote ila usikosee kuoa hapa ni siwe msemji sana ila kama mke wako mgomvi ana, hasira na wivu uliopitiliza hutoboi mzee kila siku litaibuka jipya.

3. Nilifeli kwenye usimamizi. Mahali biashara ilipo na sehemu y kazi pana umbali mrefu hali hiyo ilinifanya nitumie siku za weekend kuangalia bishara inaendaje. Uhuru wa kijana from Monday to Friday ulifanya niwenapigwa za uso. Ilifika mahali mauzo ya wiki hayafikii hata pesa ya kulipa pango.

4. Aina ya biashara niliyofanya pia inaweza kuwa ni sababu kwasababu niya msimu, kuna msimu biashara haiendii kabisa inakua ngumu sanaa.

Ilifika mahali kodi ya pango natumia salary yangu na hadi sasa kodi ya TRA imenishida kulipia. Leo naandika barua ya kusitisha kuwa mlipakodi kwenye biashara yangu.

Mpango mkakati wa kuanza tena biashara.
Ninampngo wa kubadilisha biashara ila najipa kwanza pumziko la mwaka mmoja ivii... kupunguza machungu ya hasara niliyoingia kwakipindi chote cha biashara.
Pole Sana mkuu
 
Muhimu...
 
Dukani kwako uliweka cctv camera,Mimi mwanzo walinisumbua ila nikaweka hiyo na kuwapa masharti dukani hata ikipotea mia nakata mshahara wote,kwa sasa nakaa hata week nikifika hesabu zimenyooka kama Rula.
Ili wazo lilinijia baada ya vijana kukimbia, niliuitia na kusema ningejua ningeweka cctv camera kama wateja wakiingia unawaona, nakama biashara ngumu itajua tu
 
Yaani mimi hiyo Cctv imenisaidia sana sana,Ukiwa na hiyo kabla mfanyakazi hajakuibia unajua kwamba huyu kijana nilio mleta anafaa au nipige nchini haraka sana,Mimi yangu mpaka kitakacho ongeleka dukani nasikia.
 
Attachments

  • IMG_2836.jpeg
    IMG_2836.jpeg
    63.7 KB · Views: 14
Habari za majukumu wana JF,

Leo naleta mada hii iwe kama funzo kwanaotaka kuanza biashara au wanaofanya biashara.

Nianze kwa kwakusema biashara inaitaj mtu uwe na roho ngumu yaani usiwe na huruma.
Mambo yaliyochangia kufunga biashara Yangu:

1. Uaminifu. Binafsi ni mtumishi wa serikali, hivyo nahitaji kuwa na mtu/kijana atakaeweza kusimamia biashara, lakini kwenye biashara yangu ilikua ni mtiti, vijina sio waaminifu karne hii, ikitokea umewagundua tu wanachukua chao na kusepa. Na wanasepa kwa kukupa hasara.

2. Changamoto za mahusiano zilivuruga biashara yangu. Waswahili wana kwambia kosea vyoote ila usikosee kuoa hapa ni siwe msemji sana ila kama mke wako mgomvi ana, hasira na wivu uliopitiliza hutoboi mzee kila siku litaibuka jipya.

3. Nilifeli kwenye usimamizi. Mahali biashara ilipo na sehemu y kazi pana umbali mrefu hali hiyo ilinifanya nitumie siku za weekend kuangalia bishara inaendaje. Uhuru wa kijana from Monday to Friday ulifanya niwenapigwa za uso. Ilifika mahali mauzo ya wiki hayafikii hata pesa ya kulipa pango.

4. Aina ya biashara niliyofanya pia inaweza kuwa ni sababu kwasababu niya msimu, kuna msimu biashara haiendii kabisa inakua ngumu sanaa.

Ilifika mahali kodi ya pango natumia salary yangu na hadi sasa kodi ya TRA imenishida kulipia. Leo naandika barua ya kusitisha kuwa mlipakodi kwenye biashara yangu.

Mpango mkakati wa kuanza tena biashara.
Ninampngo wa kubadilisha biashara ila najipa kwanza pumziko la mwaka mmoja ivii... kupunguza machungu ya hasara niliyoingia kwakipindi chote cha biashara.
Uzi hauna tija kama umeshindwa kutaja aina ya biashara uliyokuwa ukiifanya ili tujue tukupe ushauri gani wa kusimama tena, au liwe kama angalizo wa kufanya biashara kama uliyokuwa ukiifanya wewe
.
 
Back
Top Bottom