Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Fungua biashara ya vipuri vya magari maana magari mengi yanayokuja Tanzania ni ya muda mrefu baada ya muda kidogo tu utasikia linagonga hiki mara kile unachanganya na Oil lubricant zake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusimama katika zoteMaoni yako binafsi,kununua goods to sale(merchandise) au kua na products zako mwenyewe, ipi njia ya uhakika kusimama???
Afate wapi mzigoFungua biashara ya vipuri vya magari maana magari mengi yanayokuja Tanzania ni ya muda mrefu baada ya muda kidogo tu utasikia linagonga hiki mara kile unachanganya na Oil lubricant zake..
Biashara boss pasua kichwa,inahitaji ufatiliaji, seriousness,na ujasiri..Kusimama katika zote
Unahitaji uwepo wako kwa kiwango kikubwa sana
Wewe ndo una maono ya unachotaka hutakiwi kumpa mtu ayaendeshe maono yako
Kutengeneza product zako nahisi kama kuna asilimia 500 basi ni zaidi ya hapo uwepo wako
Kuanzia production mpaka mali kuwa sokoni
Kwa mfano unataka kuzalisha biscuits
Wewe upo moshi kikazi uendeshaji na uzalishaji wa kiwandani kwa ajili ya hizo biscuts upo ARUSHA
kuna kufata malighafi
Packages
Kuzalisha na kuingiza sokoni
Hizo zote anafanya nani wewe ukiwa mbali???
Ni wazi unatakiwa uwe na mtaji mkubwa wa kuweka wafanyakazi wengi sana wa kusimamia na hili linategemea na scale ya uzalishaji wako
Ila mimi kwa ufatiliaji wa mambo ya production KWA MWANZO KAMA SIO KWA kipindi kikubwa cha uzalishaji unahitaji uwepo wako wewe
Na ukiwaajiri watu bila mfumo dhabiti wa kuwabana lazima utayumbishwa sana
Kwenye buy and sell (HAPA MIMI NI EXPERT)🥹🥹🥹
Mchuuzi mzuri
Bidhaa nyingi nanunua in bulk
Natakiwa kuwepo wakati wa kuzigawa in retail and in wholesale
Bidhaa ambazo naziuza kama zilivyo
Natakiwa kuzifata,kusafiri(mara chache) kuzileta kutoka godwn mwenyewe kuja kuziuza,kuzipigia promo mitandaoni
Kukusanya order za wateja ,kufunga mizigo yao
ni wazi siwezi mpa hayo majukumu kijana pekee au vijana pekeee
Nahitaji pale
Napost mitandao yote maarufu hii na ku update status kila siku
Hayo mkuu ni ngumu kuyafanya ukiwa uneajiriwa
Kwa wastani kwa siku napokea simu sio chini ya 30-50
Hiyo ni full time kaka, ni uachw kazi ufanye kazi
Kila la heri
Nimejifunza vitu mkuu asante sana, maani mi visioj yangu ni kuwa na viwanda vya kuproduce bidhaa mbali mbali hapa nchini, ila umenipa mwangaza.🙏Kusimama katika zote
Unahitaji uwepo wako kwa kiwango kikubwa sana
Wewe ndo una maono ya unachotaka hutakiwi kumpa mtu ayaendeshe maono yako
Kutengeneza product zako nahisi kama kuna asilimia 500 basi ni zaidi ya hapo uwepo wako
Kuanzia production mpaka mali kuwa sokoni
Kwa mfano unataka kuzalisha biscuits
Wewe upo moshi kikazi uendeshaji na uzalishaji wa kiwandani kwa ajili ya hizo biscuts upo ARUSHA
kuna kufata malighafi
Packages
Kuzalisha na kuingiza sokoni
Hizo zote anafanya nani wewe ukiwa mbali???
Ni wazi unatakiwa uwe na mtaji mkubwa wa kuweka wafanyakazi wengi sana wa kusimamia na hili linategemea na scale ya uzalishaji wako
Ila mimi kwa ufatiliaji wa mambo ya production KWA MWANZO KAMA SIO KWA kipindi kikubwa cha uzalishaji unahitaji uwepo wako wewe
Na ukiwaajiri watu bila mfumo dhabiti wa kuwabana lazima utayumbishwa sana
Kwenye buy and sell (HAPA MIMI NI EXPERT)🥹🥹🥹
Mchuuzi mzuri
Bidhaa nyingi nanunua in bulk
Natakiwa kuwepo wakati wa kuzigawa in retail and in wholesale
Bidhaa ambazo naziuza kama zilivyo
Natakiwa kuzifata,kusafiri(mara chache) kuzileta kutoka godwn mwenyewe kuja kuziuza,kuzipigia promo mitandaoni
Kukusanya order za wateja ,kufunga mizigo yao
ni wazi siwezi mpa hayo majukumu kijana pekee au vijana pekeee
Nahitaji pale
Napost mitandao yote maarufu hii na ku update status kila siku
Hayo mkuu ni ngumu kuyafanya ukiwa uneajiriwa
Kwa wastani kwa siku napokea simu sio chini ya 30-50
Hiyo ni full time kaka, ni uachw kazi ufanye kazi
Kila la heri
Kabla ya kufungua biashara, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha mafanikio na kuepuka baadhi ya matatizo.Habari za majukumu wana JF,
Leo naleta mada hii iwe kama funzo kwanaotaka kuanza biashara au wanaofanya biashara.
Nianze kwa kwakusema biashara inaitaj mtu uwe na roho ngumu yaani usiwe na huruma.
Mambo yaliyochangia kufunga biashara Yangu:
1. Uaminifu. Binafsi ni mtumishi wa serikali, hivyo nahitaji kuwa na mtu/kijana atakaeweza kusimamia biashara, lakini kwenye biashara yangu ilikua ni mtiti, vijina sio waaminifu karne hii, ikitokea umewagundua tu wanachukua chao na kusepa. Na wanasepa kwa kukupa hasara.
2. Changamoto za mahusiano zilivuruga biashara yangu. Waswahili wana kwambia kosea vyoote ila usikosee kuoa hapa ni siwe msemji sana ila kama mke wako mgomvi ana, hasira na wivu uliopitiliza hutoboi mzee kila siku litaibuka jipya.
3. Nilifeli kwenye usimamizi. Mahali biashara ilipo na sehemu y kazi pana umbali mrefu hali hiyo ilinifanya nitumie siku za weekend kuangalia bishara inaendaje. Uhuru wa kijana from Monday to Friday ulifanya niwenapigwa za uso. Ilifika mahali mauzo ya wiki hayafikii hata pesa ya kulipa pango.
4. Aina ya biashara niliyofanya pia inaweza kuwa ni sababu kwasababu niya msimu, kuna msimu biashara haiendii kabisa inakua ngumu sanaa.
Ilifika mahali kodi ya pango natumia salary yangu na hadi sasa kodi ya TRA imenishida kulipia. Leo naandika barua ya kusitisha kuwa mlipakodi kwenye biashara yangu.
Mpango mkakati wa kuanza tena biashara.
Ninampngo wa kubadilisha biashara ila najipa kwanza pumziko la mwaka mmoja ivii... kupunguza machungu ya hasara niliyoingia kwakipindi chote cha biashara.
Mungu akuangazie nuru za uso wake na akubarikiNimejifunza vitu mkuu asante sana, maani mi visioj yangu ni kuwa na viwanda vya kuproduce bidhaa mbali mbali hapa nchini, ila umenipa mwangaza.🙏
Mambo yanawezekana kumbe, maana nilikuwa najikuta nakata tamaa kwakuwa ndo naend kuanza.
Ujasiri wa hali ya juuBiashara boss pasua kichwa,inahitaji ufatiliaji, seriousness,na ujasiri..
Asante sana , nilishamuangalia muda mrefu.Mungu akuangazie nuru za uso wake na akubariki
Tia juhudi
Soma sana
Juu ya jambo unalotaka kufanya
Kama ni kiwanda cha maziwa soma kuhusu viwanda vya hapa bongo na nje ikiwezekana
Pia nenda kaangalie ile interview ya mlokozi
Ingia you tube nae alikua muajiriwa akaanzisha kiwanda chake
Nenda kaichek yote upate hasira mkuuu
Hakuna jambo linaloshindikana duniani you can learn anything and you can do anything
Weka nia tu
Good night
Vijana wa kikristo wametajwa wapi kwenye huu uzi? Mbona kwa miaka mingi nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili halafu unataka kuni-prove wrong?Aliposema Mheshimiwa Dr. Mchungaji Eliona Kimaro kwamba kufanya biashara au ajira na vijana wa kikristo ni ngumu, maana ni wezi na ni wavivu mlimnyanyasa, mkampa aibu,
Haya tuambie wewe.
Ni hivi kila msimu alikuwa anauza, ila akiuza simu yako kesho ananunua nyingine anaweka kwenye shelf, faida anatia mfukoni,
But anyways usiogope, just try again
Mizigo mingi kariakoo na magari ni haya haya yaliyopo anaweza kuanza na service kit pekee harafu akaanza kujiongeza taratibu kwa kuchanganya parts tofauti tofauti..biashara ya parts za magari sio ngumu yeyote anaweza kufanya.Afate wapi mzigo
Haswa magari gani
Pole..ulikuwa unafanya biashara gani?? Nilichojifunza since nimeanza business ni kuwa biashara ni vita na sio kilaa mtu anaweza kuwa mfanyabiashara.2022‐2024 umejitahid sana fanya uwezekano urudi upya . Mimi nilikurupuka nilikimbia baada ya miezi 3 na kodi nikaacha. Biashara is noti for everybadi
Sijataja aina ya biashara kwasababu ya watu kama nyie ambao mpo specific, Binafsi nipo General ndio maana nimepata ushauri Kwa watu wengi Sana na umenijenga.Uzi hauna tija kama umeshindwa kutaja aina ya biashara uliyokuwa ukiifanya ili tujue tukupe ushauri gani wa kusimama tena, au liwe kama angalizo wa kufanya biashara kama uliyokuwa ukiifanya wewe
.
Sijataja sababu Moja tu ya make ndio chanzo Cha kufunga ila zipo kadhaa. Lakini sabubu kubwa iliyopelekea kufunga ni hasara ,nilikosa pesa ya kuendesha , lkn kumbuka Bado nilikua mbali na eneo la biashara Kwaio usimamizi ingekua changamoto.tabia za kimama mama unafungaje biashara kisa mke eti vijana wa kazi
hata ufungue biashara nyingine utapata excuse ya kuifunga
mwanaume mzima unashindwa kufukuza mke
vitoto maelfu kwa maelfu vinamaliza form four na vinapata 0 unashindwa kuoa siku ya pili baada ya kumfukuza veteran
ungekua karibu ungekula mbata mura!
Asante Sanaa mkuuKabla ya kufungua biashara, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha mafanikio na kuepuka baadhi ya matatizo.
UTAFITI WA MASOKO: Fanya utafiti wa kina kuhusu soko lako linalokusudia, wateja, na washindani. Tambua mahitaji ya wateja na jinsi biashara yako itakavyojitoa kwenye soko.
MPANGO WA BIASHARA:Andaa mpango wa biashara ulio kamili unaojumuisha malengo, mkakati wa soko, bajeti, na makadirio ya mapato na matumizi. Mpango huu utasaidia kuweka dira na kubaini mahitaji ya kifedha.
RASILIMALI ZA FEDHA:Hakikisha una mtaji wa kutosha kuanzisha na kuendesha biashara yako hadi itakapokuwa na uwezo wa kujitegemea. Fikiria kuhusu vyanzo vya fedha, kama vile mikopo au uwekezaji kutoka kwa watu wengine.
SHERIA NA KANUNI: Jua na elewa sheria na kanuni zinazohusu biashara yako, ikiwa ni pamoja na usajili wa biashara, leseni, na kodi. Hii ni muhimu kwa kuzuia matatizo ya kisheria baadaye.
MPANGILIO WA MAHALI: Chagua mahali panapofaa kwa biashara yako. Mahali panahitaji kuwa rahisi kufikika kwa wateja na wafanyakazi, na kuhakikisha kwamba ni sehemu yenye shughuli za biashara zinazofaa.
MKAKATI WA UUZAJI NA KUONGEZA WATEJA: Fikiria jinsi utakavyowafikia wateja wako, ni mbinu gani za uuzaji zitakazotumika, na jinsi utavyoshindana na washindani wako.
HUDUMA BORA:Jipange kutoa huduma bora kwa wateja na kuwa na mfumo mzuri wa kutatua malalamiko na kutoa huduma ya baada ya mauzo.
MIPANGO YA DHARURA: Kuwa na mipango ya dharura kwa matatizo yanayoweza kutokea, kama vile majanga ya asili, matatizo ya kifedha, au upungufu wa rasilimali.
UJUZI NA UZOEFU: Hakikisha una maarifa na ujuzi wa kutosha katika sekta au biashara unayopanga kuanzisha. Uzoefu na elimu ya kina yatakusaidia kufanya maamuzi bora.
Kwa kufuata baadhi ya hatua hizi, unaweza kuongeza ufanisi kwenye biashara.
Kusimama katika zote
Unahitaji uwepo wako kwa kiwango kikubwa sana
Wewe ndo una maono ya unachotaka hutakiwi kumpa mtu ayaendeshe maono yako
Kutengeneza product zako nahisi kama kuna asilimia 500 basi ni zaidi ya hapo uwepo wako
Kuanzia production mpaka mali kuwa sokoni
Kwa mfano unataka kuzalisha biscuits
Wewe upo moshi kikazi uendeshaji na uzalishaji wa kiwandani kwa ajili ya hizo biscuts upo ARUSHA
kuna kufata malighafi
Packages
Kuzalisha na kuingiza sokoni
Hizo zote anafanya nani wewe ukiwa mbali???
Ni wazi unatakiwa uwe na mtaji mkubwa wa kuweka wafanyakazi wengi sana wa kusimamia na hili linategemea na scale ya uzalishaji wako
Ila mimi kwa ufatiliaji wa mambo ya production KWA MWANZO KAMA SIO KWA kipindi kikubwa cha uzalishaji unahitaji uwepo wako wewe
Na ukiwaajiri watu bila mfumo dhabiti wa kuwabana lazima utayumbishwa sana
Kwenye buy and sell (HAPA MIMI NI EXPERT)🥹🥹🥹
Mchuuzi mzuri
Bidhaa nyingi nanunua in bulk
Natakiwa kuwepo wakati wa kuzigawa in retail and in wholesale
Bidhaa ambazo naziuza kama zilivyo
Natakiwa kuzifata,kusafiri(mara chache) kuzileta kutoka godwn mwenyewe kuja kuziuza,kuzipigia promo mitandaoni
Kukusanya order za wateja ,kufunga mizigo yao
ni wazi siwezi mpa hayo majukumu kijana pekee au vijana pekeee
Nahitaji pale
Napost mitandao yote maarufu hii na ku update status kila siku
Hayo mkuu ni ngumu kuyafanya ukiwa uneajiriwa
Kwa wastani kwa siku napokea simu sio chini ya 30-50
Hiyo ni full time kaka, ni uachw kazi ufanye kazi
Kila la h
Hapa umeeleweka, nimejifunza kitu mkuuKusimama katika zote

Mkuu umetoa nondo za maana ingekuwa poa ukatuambia biashara unayofanya tujifunzeUkitaka kupata pesa za biashara uwepo wewe
Hakuna alternative
Haipo
Nakuhakikishia haipo
Hata ukiwa na branch za hizo biashara zako sema ukafungua mikoa miwili
Lazima moja italega
Hawa wenye makampuni na mawiwanda wanaajiri. Watu wa kuzisimamia hizo
Ulinzi wa hali ya juuu
Lakin pia biashara nyingi watu wanafunga cctv camera na usimamizi kama kambi ya jeshi
Mimi nipo kwenye biashara yangu asilimia 99%
Hiyo moja nikisafiri kufata mzigo lakini pia
Nina vijana ila na mimi napiga kazi ukija huwezi jua boss nani
Wote sisi ni wafanyakazi wa kazi yangu
Mzunguko wangu ni mauzo ya milion 10-15 kwa mwezi
Wastan wa laki 4 mpaka 5 kwa siku
Ila ninabana mpaka kona
Picha linaanza nimefunga camera
Namba mbili kila siku kama wewe unavyoamka kwenda kazini na mimi naenda kwenye biashara
Na sikai kwenye kitu
Tunafanya wote kazi
Kwa kifupi stoo zote najua hadi box la mwisho lilipowekwa hata ukiniamsha usiku
Najaribu kukuambia nini
Yote hayo uwezi fanya ukiwa umeajiriwa
Usikope pesa alafu ukaweka kwenye biashara ambayo huwezi kuisimamia
Mimi ni mwanamke nina backup ya mume wangu
Wakati naacha kazi nilisema kivyoyote sitalala njaa
Ila asilimia kama 80 nilishapna mwangaza wa biashara yangu ila kilichokua kinakosekana ni kimoja
UWEPO WANGU
nakushauri usikope pesa ukaweka kwa biashara ambayo inakuhitaji
Yaani ukaweka milion lets say 30 alafu ukamuachia kijana acheze nazo
Eeeh sikushauri
La mwisho
Uko mkoa gani nikushauri kitu kizuri sana.
Ambacho kwa mimi nakiona ni simple na halihitaji uwepo wako
Japo kina gharama
Ila kwa nature ya wewe ulieajiriwa kitakufaa