Biashara niliyofungua Aprili 2022 nimeifunga Agosti 2024

Biashara niliyofungua Aprili 2022 nimeifunga Agosti 2024

tabia za kimama mama unafungaje biashara kisa mke eti vijana wa kazi
hata ufungue biashara nyingine utapata excuse ya kuifunga
mwanaume mzima unashindwa kufukuza mke
vitoto maelfu kwa maelfu vinamaliza form four na vinapata 0 unashindwa kuoa siku ya pili baada ya kumfukuza veteran
ungekua karibu ungekula mbata mura!
 
Ndugu zangu tafuteni nguvu za kiroho, acheni kulalamika lalamika, biashara yoyote unafanikiwa kwenye ulimwengu wa kiroho kabla ya ulimwengu wa mwili na nyama.

Mama muuza maandazi anajua mifumo ya kuendesha biashara kuliko msomi...

Unazaa mtoto Leo na watu wanajua kuwa baada ya miaka 30 huyu mtoto ni tajiri. Wanapiga lock.

Unafungua biashara wasiokutakia mema wanajua hafiki popote huyu...
Wameshakutangulia...

Hakuna biashara yenye hasara ikiwa mwanzo ulituliza kichwa kuanzisha, labda binadamu aache kuishi...!
 
Pole mkuu naamini utasimama tena.

2020 niliwahi kufungua lab na mgahawa kwa wakati mmoja niliyoambulia yalinibakisha na maumivu makali kwa miaka 2 iliyopita. Sikukata tamaa mwaka ulioisha nikajichanga nikarudi tena kwenye gemu kurekebisha makosa yaliyopita.

Mara zote mwanzo huwaga mgumu ila leo within 7 nimeanza kula mema tena atleast hata nikilala home najua kuna mahala 50-100k laki inaingiasio jambo dogo aisee. Siku nikipata muda(mvivu kuandika)vizuri nitaeleza yapi niliyopitia japo kuna baadhi ya nyuzi niliwahi changia kueleza hayo.
 
Nakumbuka mimi biashara yangu ilikufa kabla ya kuanza. Ilikuwa nianze kuuza kuni sokoni kwa morombo. Mtaji ulikuwa 130k. Ni kulipia tu lori then mnaenda kwenye pori fulani ukipita Mirongoine mnaokota kuni na kuzipakia. Ila ndo tunamalizia kupakia tukaona watu wa maliasili wako jirani upande ambao tungepita muda wa kurudi. Ikabidi tuziache tu kuni maana maliasili wangetufanya kitu mbaya sana endapo wangeziona kuni. Hiyo biashara nikaachana nayo mazima na kurudi town lori tupu.
Hahaha
 
Ndugu zangu tafuteni nguvu za kiroho, acheni kulalamika lalamika, biashara yoyote unafanikiwa kwenye ulimwengu wa kiroho kabla ya ulimwengu wa mwili na nyama.

Mama muuza maandazi anajua mifumo ya kuendesha biashara kuliko msomi...

Unazaa mtoto Leo na watu wanajua kuwa baada ya miaka 30 huyu mtoto ni tajiri. Wanapiga lock.

Unafungua biashara wasiokutakia mema wanajua hafiki popote huyu...
Wameshakutangulia...

Hakuna biashara yenye hasara ikiwa mwanzo ulituliza kichwa kuanzisha, labda binadamu aache kuishi...!
Hivi vitu vipo japo hua navipuuza ndio maana mpaka sasa kila ninachokifanya napata negative results.
 
Maamuzi magumu sanaaa...
Ukitaka kupata pesa za biashara uwepo wewe
Hakuna alternative
Haipo
Nakuhakikishia haipo
Hata ukiwa na branch za hizo biashara zako sema ukafungua mikoa miwili
Lazima moja italega
Hawa wenye makampuni na mawiwanda wanaajiri. Watu wa kuzisimamia hizo
Ulinzi wa hali ya juuu

Lakin pia biashara nyingi watu wanafunga cctv camera na usimamizi kama kambi ya jeshi
Mimi nipo kwenye biashara yangu asilimia 99%
Hiyo moja nikisafiri kufata mzigo lakini pia
Nina vijana ila na mimi napiga kazi ukija huwezi jua boss nani
Wote sisi ni wafanyakazi wa kazi yangu

Mzunguko wangu ni mauzo ya milion 10-15 kwa mwezi
Wastan wa laki 4 mpaka 5 kwa siku
Ila ninabana mpaka kona
Picha linaanza nimefunga camera
Namba mbili kila siku kama wewe unavyoamka kwenda kazini na mimi naenda kwenye biashara
Na sikai kwenye kitu
Tunafanya wote kazi
Kwa kifupi stoo zote najua hadi box la mwisho lilipowekwa hata ukiniamsha usiku

Najaribu kukuambia nini
Yote hayo uwezi fanya ukiwa umeajiriwa
Usikope pesa alafu ukaweka kwenye biashara ambayo huwezi kuisimamia

Mimi ni mwanamke nina backup ya mume wangu
Wakati naacha kazi nilisema kivyoyote sitalala njaa
Ila asilimia kama 80 nilishapna mwangaza wa biashara yangu ila kilichokua kinakosekana ni kimoja
UWEPO WANGU
nakushauri usikope pesa ukaweka kwa biashara ambayo inakuhitaji
Yaani ukaweka milion lets say 30 alafu ukamuachia kijana acheze nazo
Eeeh sikushauri

La mwisho
Uko mkoa gani nikushauri kitu kizuri sana.
Ambacho kwa mimi nakiona ni simple na halihitaji uwepo wako
Japo kina gharama
Ila kwa nature ya wewe ulieajiriwa kitakufaa
 
Mimi nafuata,..Kama sio mwezi huu,Basi mwezi wa Tisa
Pole sana
Tajiri mmoja alihojiwa na milard ayo alisema kauli moja katika mengi
Alishafanya biashara lukuki,,,, hii ndo ikamtoa

Jitafute tu kuna chaka lako

Mimi niliahafanya biashara nyingi sana mpaka zingine sikumbuki
Ila sijawah kata tamaa uwa nina moyo wa ujasiri sana
 
Aliposema Mheshimiwa Dr. Mchungaji Eliona Kimaro kwamba kufanya biashara au ajira na vijana wa kikristo ni ngumu, maana ni wezi na ni wavivu mlimnyanyasa, mkampa aibu,

Haya tuambie wewe.

Ni hivi kila msimu alikuwa anauza, ila akiuza simu yako kesho ananunua nyingine anaweka kwenye shelf, faida anatia mfukoni,

But anyways usiogope, just try again
Hii wanayo sana wafanyakazi wa bar/glocery wasio waaminifu.
 
Pole sana
Tajiri mmoja alihojiwa na milard ayo alisema kauli moja katika mengi
Alishafanya biashara lukuki,,,, hii ndo ikamtoa

Jitafute tu kuna chaka lako

Mimi niliahafanya biashara nyingi sana mpaka zingine sikumbuki
Ila sijawah kata tamaa uwa nina moyo wa ujasiri sana
Usitaje unayofanya Sasa hivi,taja ulizofanya zikaanguka
 
Usitaje unayofanya Sasa hivi,taja ulizofanya zikaanguka
Nyingi sana mkuu
Nikianza ni huruma
Kuna product flani nilishawah zitengeneza
Zamaki kama 8 yrs ago
Nikamtumia mwana hapa jf anisaidie kupost yaani aisee
Mkuu siwez hadithia moja moja
Ila naweza nikakwambia tu jambo moja
Usikate tamaa baresa mpaka leo anauza maandazi
 
Maoni yako binafsi,kununua goods to sale(merchandise) au kua na products zako mwenyewe, ipi njia ya uhakika kusimama???
 
Back
Top Bottom