Biashara niliyofungua Aprili 2022 nimeifunga Agosti 2024

Binadamu hatujawahi kueleweka....cha ajabu utampata wa hivi utaanza kulia lia tena ooh mke yupo bize hana muda wa kunipikia, hanifulii boxa bla bla bla 😁
Njoo wewe tulianzishe mpenzi ,Black wamenikopesha bila kuzingatia vigezo takiwa ,Sasa Nina hela japo nimetunza kiasi Cha kuwafungulia kesi wakianza kunidai
 
BIashara ya chakula na vinywaji kama haupo wanachofanya wanapika vyakula vyao wanauza kwanza vyao badae ndo wanauza chakula cha biashara hivo ndo wanavofanya, kwenye vinywaji wanaleta kreti lao la bia pemben wanauza wao la kwao badae la kwako unashangaa mbona wateja wamejaa ila mauzo hafifu...
 
Ni heri kibaki nikione kwamba sijauza, kuliko bidhaa hakuna pesa hakuna....hiki ndo kilikua kinanitokea duka la vyakula ukienda vitu hakuna pesa hakuna.

Ndo maana pia nasema mfano mie nikiamua kufanya biashara ya chakula sitaweka vitu vingi ni vitu vichache spesho ambavyo nna uwezo wa kuvisimamia.
 

Good ideas
 
Ulitaka mkeo aelewane na washikaji zako, una hatari sana
 
Mimi kama mimi pia nafikiria pia kuchagua ni biashara gani ufanye, inabidi pia nawe ujiangalie ni mtu wa namna gani....yani ulivyo personality yako inaenda na hiyo biashara?

Nitaeleza.....
 
Hili naondoka nalo ....
""Kwenye stationery kuna mahali wameandika copy sh 40 maana yake huku na huku sh 80, sasa utalipa sh 80? Obvious utalipa 100 na ndio bei halisi....lugha ya biashara #siri za biashara""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Swali je unahitaji ushauri
 
Aisee,watu wamekosa uaminifu..
 
Aisee,watu wamekosa uaminifu..
Funzo nilopata kwny biashara.. Saiv nimejifunza kuwa mbogo. Sichek na mtu, Dosari kidogo tu unapigwa maswali kama saba ivii.. af unampa warning akirudia unamtimua
 
Swali je unahitaji ushauri
Kitu cha kwanza unapotaka kufanya biashara kitu cha kwanza ni lazima uijue hiyo biashara kwa kufanya utafiti wa soko wa hiyo biashara, uwajue washindani wako nguvu zao na mapungufu yao vs nguvu zako na mapungufu yako pia inatakiwa uwajue wateja wao na wateja taraji wa kwako baada ya hapo inatakiwa uwe na andiko la mpango wako wa biashara je unajua kuandika mpango wa biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…