sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Plant ya kuzalisha maji amna amna uwe na million 100.Mtaji wa kiwanda Cha maji ni simple sema inategemea na ukubwa wa RO. BTW nimefanya kazi kwenye kiwanda cha kuchakata maji safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plant ya kuzalisha maji amna amna uwe na million 100.Mtaji wa kiwanda Cha maji ni simple sema inategemea na ukubwa wa RO. BTW nimefanya kazi kwenye kiwanda cha kuchakata maji safi.
Million 100 yote ya nini?. Kuna RO zenye uwezo tofauti inategemea wewe unataka uzalishe Lita ngapi kwa siku. Kuna RO zinazochakata mpaka Lita 500 kwa sasa ambapo ukipiga kwa masaa 9 ikiwa inatembea unapata 500×9=4,500 Lita . Sasa RO Kama hii nibei ndogo sana.Plant ya kuzalisha maji amna amna uwe na million 100.
Kuzalisha maji ni hadi uwe na kiwanda? Au unaropoka tuUnaujua mtaji wa kiwanda cha maji au unaropoka tu?
Wengi hawajaona namna maji yanavyozalishwa. Nimeshuhudia kibamba karibu na hospital ya Mloganzila mtu kafunga ki RO kidogo kwenye nyumba yake na anazalisha maji.Kuzalisha maji ni hadi uwe na kiwanda? Au unaropoka tu
Watu wengi wanataka kuanza na kuanza mtu aanzie juu na sio chini ndio maana anaongea habari za 100milWengi hawajaona namna maji yanavyozalishwa. Nimeshuhudia kibamba karibu na hospital ya Mloganzila mtu kafunga ki RO kidogo kwenye nyumba yake na anazalisha maji.
Mengine tunaamua kupiga kimya.
B to B yani busines to business, B to C yani business to consumptionBB na BC ni nini
Mkuu nahitaji utaalam wa hicho , kiwanda Cha Maji kidogoMillion 100 yote ya nini?. Kuna RO zenye uwezo tofauti inategemea wewe unataka uzalishe Lita ngapi kwa siku. Kuna RO zinazochakata mpaka Lita 500 kwa sasa ambapo ukipiga kwa masaa 9 ikiwa inatembea unapata 500×9=4,500 Lita . Sasa RO Kama hii nibei ndogo sana.
Baada yahapo unahitaji machine ya Filling, ingawa pia unaweza tumia Manual Filling (Nimeshuhudia hili) ambapo gharama yake ni ndogo sana.
Kama unahitaj uanze kitajili andaa hio mil 100. Lakini kama unataka uanze kimasikini niela ndogo.
Mfano maji PANGANI(kama sijasahau jina) yanazalishwa SIDO ya pale Tanga(GOFU CHINI) Na mzalishashaji kajisajili kama mzalishashaji mdogo. Nenda kaangalie machine alizonazo kisha utakuja kubadili kauli yako.
Ukienda urafiki hapo RO yao nizaidi ya mil 100. Sasa inategemea wewe unataka uzalishaji wa aina gani.
Filling and capping machineKuzalisha maji ni hadi uwe na kiwanda? Au unaropoka tu
Unataka sambaza nchi nzima auFilling and capping machine
Tank
Blowing machine
Labeling machine
Shrinking machine
Jengo
Marketing
Labour
Niambie gharama inakuwaje chini ya million 100 tena hiyo mia ni ndogo sana.
Toka mwanzo nilikwambia usiropoke kwa sababu nilionaehujui unachoandika unapotoshaUnataka sambaza nchi nzima au
Wewe ndio unapotosha kwa kuwatisha watu hebu fanya upembuzi kwa wasambazaji wa maji eneo uliopo halafu uje na majibu sahihi sio kujifanya wajua kila kitu bwamdogoToka mwanzo nilikwambia usiropoke kwa sababu nilionaehujui unachoandika unapotosha
Hapa tunazungumzia production sio uchuuzi hivi unaelewa lakini dogo? Mimi nimekupa upembuzi wewe toa wako wa mil 20 alafu wajuzi waseme nani mkweliWewe ndio unapotosha kwa kuwatisha watu hebu fanya upembuzi kwa wasambazaji wa maji eneo uliopo halafu uje na majibu sahihi sio kujifanya wajua kila kitu bwamdogo
Nikisema wasambazaj simaanishi wachuuzi ila wazalishaj wadogo kwa kuanzia machine ndogo tu unaeza tumia kwa kutarget soko dogo sio lazima utumie heavy machine kama unavyosema weweHapa tunazungumzia production sio uchuuzi hivi unaelewa lakini dogo? Mimi nimekupa upembuzi wewe toa wako wa mil 20 alafu wajuzi waseme nani mkweli
Nimefanya kazi kiwanda cha water& cosmetics, plastics, pamoja na soft drinks.Filling and capping machine
Tank
Blowing machine
Labeling machine
Shrinking machine
Jengo
Marketing
Labour
Niambie gharama inakuwaje chini ya million 100 tena hiyo mia ni ndogo sana.
Akisoma comment ya 36 ataelewa.Nikisema wasambazaj simaanishi wachuuzi ila wazalishaj wadogo kwa kuanzia machine ndogo tu unaeza tumia kwa kutarget soko dogo sio lazima utumie heavy machine kama unavyosema wewe
Utalamu wa aje?. Nipe kazi hiyo then utanilipa .Mkuu nahitaji utaalam wa hicho , kiwanda Cha Maji kidogo
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi mzuri ufafanuzi wako umeniongezea kituNimefanya kazi kiwanda cha water& cosmetics, plastics, pamoja na soft drinks.
Blowing machine ya nini?. Hii inatumika kama unanua preform then unaenda kuziblow kwenye PET BLOW MOULDER MACHINE ili upate size ya chupa unayohitaji. Huna haja nayo kwa sababu Kuna makampuni yanauza chupa ukiweka oda unauziwa chupa unazotaka.
Labeling machine hii inasaidia kuweka lebo, lkn huna haja nayo kwa sababu Kuna baadhi ya viwanda kama PPTL&MAMUJEE& A ONE wanaofanya kazi ya Labelling ni watu na machine zipo kidogo na muda mwingine hazifanyi kazi kwa sababu zinaharibika mara Kwa mara wengi wanazinunua kutoka India.
Shrinking machine huna haja nayo kwa sababu unaweza nunua hand Drayer ndogo ambayo itakusaidia kuzifanyia shrinking lebo Ili zishikane vizuri na chupa.
Jengo unakodi sido na nibei ndogo.
Marketing utaanza kwa kufanya Mwenyewe na kusambaza madukan .
Labour kwa kazi ya maji unahitaji operator mmoja wa RO ambae pia anaweza kua supervisor at the same time kwa watu wanaofanya labeling& Shrinking ukamlipa pesa iziyozidi elfu kumi per day.
Filling machine unatumia manual Filling, unahitaji watu wasiozidi 4 ambao wanaweza jaza zaidi ya Lita 1000 kwa siku na ukawalipa pesa Kila mmoja isiyozidi elfu 7.
Baada yahapo ukihitaji hizo machine unazotaka wewe lazima uwe pia na Compressor kwa sababu machine hizo ni pneumatic machine haziwezi tembea bila upepo. Hasa Blow MOULDER, capping &Filling machine pia ukitaka unavyotaka wewe lazima uwe na machine ya PET INJECTION MACHINE kitu ambacho hakina ulazima. Pia utahitaji Cooling tower kwa sababu injection machine nyingi ni cold mode.
Ukitaka uzalishaji kama wako andaa zaidi ya mil 500.
Lakini kama wangu kwa mzalishaji mdogo haizidi mil 20.