Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

Tengeneza juice
Nunua simtank
Jaza maji weka sukari weka rangi jaza kwenye chupa sambaza
Hicho kiwanda unaweza weka nyuma ya nyumba yako
No umeme ni nguvu zako za kukoroga sukari kwenye simtank bas
Mamlaka zikikukamata utajuta maisha
 
1. RO ni Reverse osmosis, but RO machine ni Reverse osmosis machine, inayotumika kuchakata maji na kuhakikisha maji yanatoka yakiwa masafi kadri unavyotaka, kwa kuzingatia pH unayotaka iwe kwenye maji.

2. Ukishakua na RO machine ya capacity ya kuzalisha Lita 5000 kwa siku, mambo mengine unayohitaji ni madogo madogo ndio maana nikasema unachokihitaji zaidi ni RO machine, na Sufuria kubwa za Stainless steel, kwamba baada yakuchakata maji yako unayahifadhi katika masufuria Yako makubwa, kisha unafanya manual Filling.

Unahitaji watu wasiozidi 3 wenye uzoefu wa kufanya manual Filling.

Machine nyingine utakayohitaji labda ni Shrinking machine kama utakua na pesa, lkn kama Hauna Kuna vi hand dryer vinatumika pia kufanya hiyo kazi shrinking/Sealing.
Maelezo yako ni mazuri mpaka naiona ni biashara rahisi tofauti na fikra zangu mwanzoni.

Ila najiuliza kwa nini watu wana mipesa ila hawaweki mitaji kwenye hii biashara ambayo naona wateja wake sio wa kutafuta?
 
Tupe kidogo madini ya uzalishaji wake, masoko yake na faida yake unaipataje
Hii ina faida kubwa sana lakini wateja inategemea na eneo ulipo ma matumizi ya hiyo peanut butter.
Ila kama unaweza ukikamua mafuta ya karanga waweza piga bao sana . Lita 1 ni 20 - 30 elf. Gunia moja la maganda unapata lita 12 x30,000Tshs= 360,000/= Tshs kwa uchache lakini waweza pata lita 18 x 30,000= 540,000/=Tshs
 
Okay shukrani, kumbe kuna mafuta ya karanga kiukweli sikuwai kuyaona. Uwa naziona peanut butter supermarkets japo mimi sijawai kuwa na matumizi nazo.
 
Okay shukrani, kumbe kuna mafuta ya karanga kiukweli sikuwai kuyaona. Uwa naziona peanut butter supermarkets japo mimi sijawai kuwa na matumizi nazo.
Mkuu yapo na ni mazuri kwa afya. Pia ni biashara nzuri. Siri yake utanitafuta in box kwa sababu kama upo serious basi uweze kujua abc za kuliteka soko
 
Back
Top Bottom