Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

I know you're trying to sound funny, but I feel this might not be the best time for jokes. We have a serious matter to discuss. Chill.
Hapo sijatania,vitumbua vinaweza kukupata mpaka 50 kwa siku tena kwa mtaji mdogo tu

Basi kafyatue tofari
 
Unapotaka kwenda unapajua ila bado hujakuwa na uhakika wa njia ya kuelekea huko
Nnachoweza kukushauri kwa sababu bado haijulikani capital yako,ni kupata michanganuo ya baadhi ya kazi za uzalishaji hapa nashauri pia uwe umeweka wazi mtaji wako ili upatiwe michanganuo inayoenda sambamba na capital.
Na michanganuo hiyo inatakiwa iwe n a A to Z namaanisha kukidhi vipengele vyote vya ku invest,production , advertising,sales Hadi profit.
Ukiwa serious nitafute nitakusaidia!
 
kuna mjasiriamali katengeneza sanitary pads kutumia migomba hapo uganda.

mfuatilie.

ubunifu wake umevutia wawekezaji na sasa hivi ana kiwanda kikubwa uganda
 
kama una mtaji wa kuanzia m6... jenga mabanda fuata ngombe kyela wa maziwa wa kisasa mwenye mimba miezi 6 hadi 4.... wawili lisha teseka nao.... wakizalisha hata lita 5 kila mmoja kila siku huwezi kuwamudu wateja labda uwe kange tanga....
 
Mkuu naomba niulize maswali kadhaa ya uelewa;
1. RO ni nini?
2. Je
,
Mkuu naomba niulize maswali kadhaa kwa ajili ya kukuza ufahamu;
1. RO ni nini?
2. Ili niweze kuchakata angalau lita 2,000 za maji kwa siku nahitaji mfano niwe na manpower kiasi gani na mashine gani niwe nazo? Nitashukuru ukielezea jina la mashine na kazi yake ili niendelee kujipanga vizuri. Nakushuru kwa muda wako mkuu.
 
Tengeneza hutu tupombe tukali....actually ni gongo ...una zi pack vyema ...unaingia sokoni...
 
Job true true
 
Nipo kwenye hii sekta
Ila kabla yote wewe unapenda nini?

Uzalishaji ni mpana sana sana
 
1. RO ni Reverse osmosis, but RO machine ni Reverse osmosis machine, inayotumika kuchakata maji na kuhakikisha maji yanatoka yakiwa masafi kadri unavyotaka, kwa kuzingatia pH unayotaka iwe kwenye maji.

2. Ukishakua na RO machine ya capacity ya kuzalisha Lita 5000 kwa siku, mambo mengine unayohitaji ni madogo madogo ndio maana nikasema unachokihitaji zaidi ni RO machine, na Sufuria kubwa za Stainless steel, kwamba baada yakuchakata maji yako unayahifadhi katika masufuria Yako makubwa, kisha unafanya manual Filling.

Unahitaji watu wasiozidi 3 wenye uzoefu wa kufanya manual Filling.

Machine nyingine utakayohitaji labda ni Shrinking machine kama utakua na pesa, lkn kama Hauna Kuna vi hand dryer vinatumika pia kufanya hiyo kazi shrinking/Sealing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…