Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

Tengeneza juice
Nunua simtank
Jaza maji weka sukari weka rangi jaza kwenye chupa sambaza
Hicho kiwanda unaweza weka nyuma ya nyumba yako
No umeme ni nguvu zako za kukoroga sukari kwenye simtank bas
Mamlaka zikikukamata utajuta maisha
 
Maelezo yako ni mazuri mpaka naiona ni biashara rahisi tofauti na fikra zangu mwanzoni.

Ila najiuliza kwa nini watu wana mipesa ila hawaweki mitaji kwenye hii biashara ambayo naona wateja wake sio wa kutafuta?
 
Tupe kidogo madini ya uzalishaji wake, masoko yake na faida yake unaipataje
Hii ina faida kubwa sana lakini wateja inategemea na eneo ulipo ma matumizi ya hiyo peanut butter.
Ila kama unaweza ukikamua mafuta ya karanga waweza piga bao sana . Lita 1 ni 20 - 30 elf. Gunia moja la maganda unapata lita 12 x30,000Tshs= 360,000/= Tshs kwa uchache lakini waweza pata lita 18 x 30,000= 540,000/=Tshs
 
Okay shukrani, kumbe kuna mafuta ya karanga kiukweli sikuwai kuyaona. Uwa naziona peanut butter supermarkets japo mimi sijawai kuwa na matumizi nazo.
 
Okay shukrani, kumbe kuna mafuta ya karanga kiukweli sikuwai kuyaona. Uwa naziona peanut butter supermarkets japo mimi sijawai kuwa na matumizi nazo.
Mkuu yapo na ni mazuri kwa afya. Pia ni biashara nzuri. Siri yake utanitafuta in box kwa sababu kama upo serious basi uweze kujua abc za kuliteka soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…