Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

Biashara ya kuuza miwa. Muwa unanunua 500 sokoni unakata vipande 4 vya jerojero. Hapo faida yako inekuwa 1500. Kama utachonga na kukatakata ukaweka kwenye vimifuko utapata faida kubwa zaidi

Hamna muwa wa shilingi mia tano sokoni bei ni elfu mbili
 
Mwenye kuelewa na aelewe - biashara takribani zote zinalipa, lkn umejiandaa:-
(a). Kulinda mtaji kwa kuepuka drawings i.e mpe fulani soda, nakutumia vocha na bando mpendwa, anasa za weekend nk?

(b). Umetambua kuwa biashara na show off haviendani pindi uanzishapo biashara - meant ishi maisha yako si kuigiza ya waliokutangulia;

(c). Kuweka mtandao watu, mara nyingi hakikisha unajifunza mengi toka kwa waliokuzunguka - huko utajifunza mengi mapya.
Nisiwachoshe.

Msakila Kabende
Kakonko.
 
kwa now nakushauri kuza mtaji kwanza alafu fungua duka la vipodozi
Tupe nondo ya duka la vipodozi mi nimeipenda ila pakuanzia sijui......

Yupo binamu yangu anamtaji wa milioni 30 anataka aifanye nipe nondo mkuu nikamuongeze madini.....
 
Uzi upo poa sana. Nahisi nitaenda kuifanyia kazi hiyo ya toroli la maji kisha nimpe mtu aniletee hesabu maana mim nina shughuli nyingine nafanya. Siwezi kuendesha mwenyewe.
 
Dagaa ni biashara nzuri ila hapo mtu mwaminifu wa kukuagizia toka mwanza
 
Back
Top Bottom