Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Hapo pa mtaji 50k unaweka biashara ya vifaa vya simuWap khsu nn mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo pa mtaji 50k unaweka biashara ya vifaa vya simuWap khsu nn mkuu
Natamani kufanya hii k2 ila pakuanzia ndo shida mzgo wapi naupata na location piaBiashara ya vifaaa vya simu kma phone. Charge,protector,usb,cover,n.k mtaji elfu 50 tu kuanzia na meza
Anzia hapo ulipo mkuu hiyo tamaa iweke kwenye vitendoNatamani kufanya hii k2 ila pakuanzia ndo shida mzgo wapi naupata na location pia
Kaaaa na hela zako zitapotea au njoo kijijini nunua kashamba nunua mbuI na kuku bakiza 3m angakia mbuzi watakavyozalia a na hao kuku maisha bila stresssMimi nimedunduliza sasa nina mil 7 cash. Naweza fanya biashara gani ya kuniingizia japo 20k kwa siku
Biashara ya kuuza miwa. Muwa unanunua 500 sokoni unakata vipande 4 vya jerojero. Hapo faida yako inekuwa 1500. Kama utachonga na kukatakata ukaweka kwenye vimifuko utapata faida kubwa zaidi
Tupe nondo ya duka la vipodozi mi nimeipenda ila pakuanzia sijui......kwa now nakushauri kuza mtaji kwanza alafu fungua duka la vipodozi
Hakika ni Uzi mzuri
Kweli kabisaHamna muwa wa shilingi mia tano sokoni bei ni elfu mbili
Wewe kama mimi mkuu, kma umeshapata chimbo naomba tusaidianeNatamani kufanya hii k2 ila pakuanzia ndo shida mzgo wapi naupata na location pia
Tuambie na machimbo wapi pa kupata hivo vifaa Kwa unafuu zaidiBiashara ya vifaaa vya simu kma phone. Charge,protector,usb,cover,n.k mtaji elfu 50 tu kuanzia na meza
Naomba mchanganuo wa biashara ya vipodozi mkuu..Duka la vipodozi na vitu vya wakina mama linalipa sana au fanya biashara ya chakula inalipa sana.
ila cha umhm tafut location yeny mzunguk wa watu
Naomba mchanganuo wa biashara ya vipodozi mkuu..