Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Sijui wakinga ni nani aliwawekea hii kitu maana mkinga kokote alipo lazma mafanikio yake yahusishwe na ndumba, iwe songea, mbeya au dsmHuu ni ukweli 100% na ujinga wa ngozi nyeusi ni kuamini waliofanikiwa ni washirikina, mtu akiona nina mafanikio fulani anaanza wewe kabila gani.
Nikimjibu mimi ni Mkinga anahitimisha kuwa ni mshirikina ila hajua mimi ninavyopambana kusaka pesa.