Biashara United FC 'Akhsanteni' kwa kufanya 'Biashara' nzuri sana na Yanga Hersi GSM FC

Biashara United FC 'Akhsanteni' kwa kufanya 'Biashara' nzuri sana na Yanga Hersi GSM FC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa.

Na mtaniambia kwanini Viongozi wa Biashara United FC mlioambatana na Timu Jana Usiku hadi hii leo mmegombana na Kununiana pia hasa baada ya Mmoja wenu kwenda katika Ofisi Moja ya Magodoro yasiyouzika sana nchini.

Na Wewe Kocha mpya wa Biashara United FC ole wako leo uwapange Wachezaji ambao hata huwa huwapangi ndipo utanijua Mwanamichezo Mimi Generalist ambaye licha ya kuwa ni mwana Mara (Musoma) lakini pia ni Shabiki 'lia lia' na Mwanachama nisiye na Kadi wa Biashara United FC a.k.a 'Wagumu na Mafundi wa Mpira' nchini.

Na nyie Wachezaji 'Waandamizi' Wawili Mmoja Beki wa Kushoto na Wewe wa Kati (hadi Kikosi cha Taifa Stars upo na uliitwa na Kocha Paulsen) ole Wenu leo msababishe 'Faulo' za Kipumbavu jirani na Goli lenu au mzitafute Kadi za Njano na Nyekundu ili 'Kuidhoofisha' Timu yenu.

Na baada ya Mechi kama mkifungwa idadi hiyo ya Magoli kuanzia Manne hadi Saba Viongozi wa Biashara United FC mtaniambia ni kwanini Vyumba vyenu vya Kubadilishia Nguo (Dressing Room) mmekubali Vilindwe na 'Makomandoo Uchwara' wa Klabu Wapinzani wenu leo.

Ninachojua tu Generalist ni kwamba 'mtakaza' ili mtoe Sare (Draw) japo najua mtafungwa ila nataka mkifungwa mfungwe tu Goli 1-0 au 2-1 (japo najua mkabahatika) na Kushinda Mechi ya leo na hapo ndipo mtakuwa mmenifurahisha na 'sitowalipua' tena kwa 'Upuuzi' mlioufanya ambao 'nimeshapenyezewa' wote na Watu wenu hapo Kambini.
 
Ukiifunga Yanga kuna milioni 30 ya uhakika, sasa labda GSM kazidisha dau..anyway kila mtu ashinde mechi zake.
 
Biashara Utd kama mnashida tuambieni tuwasaidie.. Ebu fanyeni kama wale wa Kino.
 
hizi tetesi zinaweza kuwa za kweli sio za kupuuza tangu juzi hili limekuwa likisemwa sana
 
Hii ni defensive mechanism hakuna cha maana ndugu yangu, ikitokea biashara kashinda mechi utakuja kutuambia nini...?

Yanga hatuna utaratibu wa kununua mechi, tutashinda kwa uwezo wetu na tutafungwa au kusare kwa ubora wa mpinzani
 
Back
Top Bottom