Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara

sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa baada ya kuwasubiri wanajeshi wa mpakani kwa dakika 15 referee atatoa ushindi kwa waarabu

Kifuatacho ni rungu la CAf ..ujinga kabisa what a shame..jasho la simba linapotea bure .....NAFASI NNE ZINAHANGAIKIWA NA SIMBA KWA MARA YA PILI SASA ILA WAPUUZI WANAZIPOTEZA KIJINGA WENGINE WANAPITISHIA PESA MLANGO WA NYUMA KUVIPA VITEAM VIDUCHU ILI WACHEZAJI WA SIMBA WAUMIZWE WASIWIEZE KUCHEZA MICHEZO YA KIMATAIFA...

MBAYA ZAIDI WANAOHUSIKA NA UJINGA HUU HATA KUSAIDIA NAULI YA TEAM WANAKAUSHA KIMYAA KAMA SIYO WAO....
SIMBA WARUHUSIWE KUCHAGUA TEAM ZA KWENDA NAO MWAKANI...HUU UJINGA UMETOSHA SASA MAAN KUNA WAPUUZI WENGINE HATA TUKIWABEBA WAO ROUND ZA AWALI TU OUT ILA MIDOMO MIREFU KAMA CHUCHUNGE

Screen Shot 2021-10-23 at 16.13.00.png
 
Hii ishu ya Biashara inaumiza ,wameshaonyesha uwezo wa kupita kuelekea hatua inayofuata .

Hata kama wamewaandikia barua CAF Mechi isogezwe mbele lakini inaonyesha hata barua ya maombi wamechelewa ,karibia week na siku kadhaa kweli wanashindwa hata kuomba serikali au kukopa?au hata kuitisha harambe yakuwachanga wanashindwa kufanya?

Wamezembea sana maana hata michuano ilipoanza passport walichelewa kuzipata
 
Nyau wanachekesha sana, wanasahau wao ndo waasisi wa kutoa bonus za kukamia mpinzani (rejea makonda kutoa 20m) leo akitoa mwingine ni ametumwa na wananchi awavunje miguu hahahahaha

Jasho linapotea linapotea hahahaha kwamba alitumwa
 
Bashite hakuwahi kutoa maagizo ya utopolo kuvunjwa miguu hela za wauza magodoro musoma na dodoma ziliambatana na maelekezo maalumu, wachezaji wa 5 waliumizwa katika hizo mechi MBAZO WALEZI WAKE NI WA KUWACHEKA TU..MMOJA NDIYE HUYU TEAM YAKE HATA KUPATA PASSPORT ALISHINDWA KUWASAIDIA LEO WASHATOLEWA CAF WANASUBIRI RUNGU ZITO..MWINGINE UWANJA WAKE UMEKONDEANA KAMA UNA KWASHIOKOR WANATOA MAMILIONI HATA KUMWAGIA maji UWANJA WANASAHAU

usisahau polisi moshi walivyolalamika baaada ya mechi yao na simba kuahirishwa, wale dau lau lilikuwa kubwa sana sababu zilitakiwa zipigwe kung fu za kutosha ili mechi ya marudianona wa botswana simba wawe wanauguza majeraha tu,baba anayehangaikia nafasi nne zinazopotezwa na wapumbavu anafanyiwa hujuma ya kuvunjwa viungo vya mwili
 
Hii ishu ya Biashara inaumiza ,wameshaonyesha uwezo wa kupita kuelekea hatua inayofuata .

Hata kama wamewaandikia barua CAF Mechi isogezwe mbele lakini inaonyesha hata barua ya maombi wamechelewa ,karibia week na siku kadhaa kweli wanashindwa hata kuomba serikali au kukopa?au hata kuitisha harambe yakuwachanga wanashindwa kufanya?

Wamezembea sana maana hata michuano ilipoanza passport walichelewa kuzipata
Serikali huwa inashangilia matokeo na sio kugharamia hayo matokeo
 
Bashite hakuwahi kutoa maagizo ya utopolo kuvunjwa miguu hela za wauza magodoro musoma na dodoma ziliambatana na maelekezo maalumu, wachezaji wa 5 waliumizwa katika hizo mechi MBAZO WALEZI WAKE NI WA KUWACHEKA TU..MMOJA NDIYE HUYU TEAM YAKE HATA KUPATA PASSPORT ALISHINDWA KUWASAIDIA LEO WASHATOLEWA CAF WANASUBIRI RUNGU ZIRO..MWINGINE UWANJA WAKE UMEKONDEAN AKAMA UNA KWASHIOKOR WANATOA MAMILIONI HATA KUMWAGIA UWANJA WANASAHAU

usisahau polisi moshi walivyolalamika baaada ya mechi yao na simba kuahirishwa, wale dau lau lilikuwa kubwa sana sababu zilitakiwa zipigwe kung fu za kutosha ili mechi ya marudianona wa botswana simba wawe wanauguza majeraha tu,baba anayehangaikia nafasi nne zinazopotezwa na wapumbavu anafanyiwa hujuma ya kuvunjwa viungo vya mwili
Aliye waita mbumbumbu hakukosea ko wewe unafahamu yote haya ila uongozi wako haufahamu

Weka ushahidi na peleka malalamiko TFF maana hii ni rushwa watu wafungiwe

Kuendelea utoto wa tulikaniwa watuvunje kwa akili y'ako unaweza poteza M15 mtu akamvunje shimba mugalu ambae hata abaki na nyavu anakosa

Ifike sehemu mbumbumbu muache utoto (kutoa motisha mlianza wenyewe ) leo wakitoa wengine mmekaniwa (utakania timu mbovu ivo)
 
Ni mapema sana kusema biashara imeondolewa kwenye mashindano kwa sababu tayari TFF wameshatuma taarifa CAF na kuomba match isogezwe hadi j4 ko majibu bado ndo tunasikilizia sshv.
 
Nimeumis sana hawa biashara na viongozi wao ni wazembe walikuwa wapi siku zote hizo? TFF pia ni wazembe mno nashindwa kuelewa hawana kweli mfuko wa dharula kwa timu changa kama hizi na hao BARRICK kwenye jezi za biashara wanafuata nini?
 
Sasa barrick kwa anashida yeye kalipia pesa ya kukaa mbele ya jezi na sio kusaidia timu isafiri
 
Lakini si kila team shiriki huwa inapata pesa kwaajili ya maandalizi ya mechi? Hazitoshi?

TFF kama msimamizi wa soka nao wangewapiga tafu Biashara maana wanakiwakilisha chama cha soka TZ.
 
Back
Top Bottom