dojonase
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 1,692
- 2,312
Awa wanaela zao zipo pale azam kwanini asingekopeshwa kuna tatzo mahali sio bureHii ishu ya Biashara inaumiza ,wameshaonyesha uwezo wa kupita kuelekea hatua inayofuata .
Hata kama wamewaandikia barua CAF Mechi isogezwe mbele lakini inaonyesha hata barua ya maombi wamechelewa ,karibia week na siku kadhaa kweli wanashindwa hata kuomba serikali au kukopa?au hata kuitisha harambe yakuwachanga wanashindwa kufanya?
Wamezembea sana maana hata michuano ilipoanza passport walichelewa kuzipata