Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

TFF AND IT'S LEADERS SHOULD RESIGN URGENTLY
Acheni lawama zisizo na maana kosa la TFF, ni nini?yaani timu ishindwe kutafuta wadhamini wake ambao ndio wataisaidia timu kweny safari kama hizi!!kwa hiyo tff ndio wawape pesa??hao biashara walifikiria michuano ya kimataifa ni mwendo wa kuunga unga kama safari za ndani?unaweza kusafiri na lori!!huko bila pesa ya uhakika hutoboi.
 
Huna uwezo wa kutubeba we unachofanya ni kuongeza pointi na kufanya tz iingize timu 4

Kuwa Kati ya timu 4 za mwanzo ni juhudi ya timu mwenyewe, kwamba yanga akiwa wa 7 ataenda jibu ni hapana

Vp yanga akiwa bingwa Bado utasema ni juhudi zako kwenda clabu bingwa
Wewe hopeless bila simba zingeenda teams 2 na nyie utopwinyo mngeenda shirikisho huko siyo champions league kwa mastaaaa
 
Kuna uzembe mwingi sana katika uendeshaji wa soka kwa vilabu vyetu. TFF inabidi sasa ichukue jukumu la kusaidia utaalamu na uzoefu kwa hizi timu ndogo. Wangepanda ndege moja na Azam wakawaacha pale Cairo, wadingekosa ndege kutoka pale.
Kabla michezo ya afrika haijaanza tff waliita viongozi wa teams zote nne wawape semina biashara hawakutokea wakidai hawana nauli ya kufika dsm
 
Nimeumis sana hawa biashara na viongozi wao ni wazembe walikuwa wapi siku zote hizo? TFF pia ni wazembe mno nashindwa kuelewa hawana kweli mfuko wa dharula kwa timu changa kama hizi na hao BARRICK kwenye jezi za biashara wanafuata nini?
Sasa kama tatizo ni pesa hao viongozi wanakuwaje wazembe??Tff, hilo sio jukumu lao , wewe ni jukumu lako kutafuta wadhamini.
 
Ni Uzembe Mkubwa Sanaaa Wa Timu Kushindwa Kusafiri, Hamna Viteteo hapoooo. NI UZEMBE TUUU

Timu inashindwaje kwenda Libya Hapo?

Wameng’ang’ania Kukodi ATCL Wanaakili? ATCL na International Flights Wapi na Wapi? Shirika hili badooo sanaaa…

Wangeongea na

Turkish Airlines
Tunisiair
Egypt Air
Ethiopian Airlines
Kenya Airwars
Precion Air

Mmoja Wa Hawa Asingeshindwa Kuwasafirisha.

Basi wameshindwa Kabisa, Wangeenda Hadi Algeria, Au Sudan Wachukue Bus Pale Chap Wapo Libya.

Wameshindwa Kabisa Wangeongea Na TRIPOLI wenyewe sio Wenyeji wa Mchezo na Wapo mji ambo ndio kuna International Airport wangewatafutia Ndege, Wao Walikujaje?

Libya wale Wanapigana kila siku Wameweza Kusafiri hadi Tanzania. Sisi tuna Amani kila Siku tumeshindwa Kwenda Libya Kweli? Hivi hii Amani yetu inatusaidia nini? Kuna Muda Unaona Kuna Upuuzi Sehemu.

Karia Atatoka na tumbo lake atajisifu amelifikisha Shirikisho Sehemu, Sehemu gani timu inashindwa kwenda Libya?
 
Kwan biashara wameshindwa kusafiri kutokana na pesa au changamoto za usafir wa anga kwenda Libya??
 
Pesa ndio sababu. Sema wanajizungusha tu
Well kuanzia juz mm namckia msemaji WAo akisema kuwa kwenda Libya inabid upite Sudan na Sudan anga lao linafungwa weekend cause hawafany kaz weekend
Na pia waliomba mpira usichezwe Libya ila waligonga mwamba
 
Well kuanzia juz mm namckia msemaji WAo akisema kuwa kwenda Libya inabid upite Sudan na Sudan anga lao linafungwa weekend cause hawafany kaz weekend
Na pia waliomba mpira usichezwe Libya ila waligonga mwamba

Timu zikiwa zinacheza mashindao ya africa wekend j mos ama j pili. Huwa wanasafiri j4 ama j5.. hiyo ndiyo kawaida. Mfano wapinzani wa simba jwaneg galaxy wamekuja Tanzania toka j5 huku mechi ni jumapili.

Azam kacheza na pyramid leo usiku ila alisafiri kwenda misri jumanne.


Jiulize why juzi alhamis biashara bado alikuwa yupo dar huku anajua ana mechi siku 3 mbele nchini libya
 
Nimefurahi Biashara United kutolewa kwa ukata.
Simba tulijitahidi kuwawezesha kimataifa hata shukrani hawakutoa.
Walipaswa kutupigia makofi siku ya mechi nao.
Kitendo cha kukamia kutuumizia wachezaji wetu kimewagharimu.
Malipo ni hapa hapa
 
Tulisema yule msomali hafai kabisa kuongoza TFF haya ndio mambo alitakiwa ashughulikie lakini wapi. Kazi kubebwa tu na wanasiasa wa ccm.

Basi nenda wewe muhutu ukongoze tff kama unaona msomali anafaidi sana.
 
Ni Uzembe Mkubwa Sanaaa Wa Timu Kushindwa Kusafiri, Hamna Viteteo hapoooo. NI UZEMBE TUUU

Timu inashindwaje kwenda Libya Hapo?

Wameng’ang’ania Kukodi ATCL Wanaakili? ATCL na International Flights Wapi na Wapi? Shirika hili badooo sanaaa…

Wangeongea na

Turkish Airlines
Tunisiair
Egypt Air
Ethiopian Airlines
Kenya Airwars
Precion Air

Mmoja Wa Hawa Asingeshindwa Kuwasafirisha.

Basi wameshindwa Kabisa, Wangeenda Hadi Algeria, Au Sudan Wachukue Bus Pale Chap Wapo Libya.

Wameshindwa Kabisa Wangeongea Na TRIPOLI wenyewe sio Wenyeji wa Mchezo na Wapo mji ambo ndio kuna International Airport wangewatafutia Ndege, Wao Walikujaje?

Libya wale Wanapigana kila siku Wameweza Kusafiri hadi Tanzania. Sisi tuna Amani kila Siku tumeshindwa Kwenda Libya Kweli? Hivi hii Amani yetu inatusaidia nini? Kuna Muda Unaona Kuna Upuuzi Sehemu.

Karia Atatoka na tumbo lake atajisifu amelifikisha Shirikisho Sehemu, Sehemu gani timu inashindwa kwenda Libya?
Mnatupa lawama zisizo na msingi, hapo kosa la TFF ni lipi?
Hujui jukumu la TFF

Biashara wameuza mechi maana haiwezekani wao pekee ndio wawe na huu ujinga
Mechi ya Kwanza hawakuwa na Passport wakachelewa fika walipotakiwa kwenda
Ya jana walijua zamani mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara

sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa baada ya kuwasubiri wanajeshi wa mpakani kwa dakika 15 referee atatoa ushindi kwa waarabu

Kifuatacho ni rungu la CAf ..ujinga kabisa what a shame..jasho la simba linapotea bure .....NAFASI NNE ZINAHANGAIKIWA NA SIMBA KWA MARA YA PILI SASA ILA WAPUUZI WANAZIPOTEZA KIJINGA WENGINE WANAPITISHIA PESA MLANGO WA NYUMA KUVIPA VITEAM VIDUCHU ILI WACHEZAJI WA SIMBA WAUMIZWE WASIWIEZE KUCHEZA MICHEZO YA KIMATAIFA...

MBAYA ZAIDI WANAOHUSIKA NA UJINGA HUU HATA KUSAIDIA NAULI YA TEAM WANAKAUSHA KIMYAA KAMA SIYO WAO....
SIMBA WARUHUSIWE KUCHAGUA TEAM ZA KWENDA NAO MWAKANI...HUU UJINGA UMETOSHA SASA MAAN KUNA WAPUUZI WENGINE HATA TUKIWABEBA WAO ROUND ZA AWALI TU OUT ILA MIDOMO MIREFU KAMA CHUCHUNGE



View attachment 1984342
Kwa hiyo simba kuhangaika kote ni ili zipatikane nafasi nne?

Acheni uzwazwa.
 
Nyau wanachekesha sana, wanasahau wao ndo waasisi wa kutoa bonus za kukamia mpinzani (rejea makonda kutoa 20m) leo akitoa mwingine ni ametumwa na wananchi awavunje miguu hahahahaha

Jasho linapotea linapotea hahahaha kwamba alitumwa
Mafala ni wa kuachana nao...
 
Azam hawajasafiri kwa ndege ya kukodi.. azam wamesafiri na ndege ya abiria ya kawaida.. biashara walikuwa hawana nauli. Maana ndege za abiria kila siku zipo. Hata ndege waliopanda azam biashara wasingeweza kupanda bila nauli
Sasa walikuwa wanaona aibu kusema hawana nauli au
 
Mzunguko wa kwanza niliona watu wanaisifu sana biashara kuwa wamesafiri wakafika siku hiyohiyo na wakapata ushindi... Mliwasifu sana na kuanza kuzibeza Simba na Yanga. Mkaenda mbaali zaidi mkasema iweje Simba asafiri siku nne kabla c angecheza kwanza mechi ya ligi ndio asafiri ili kupunguza viporo, mkaitukana sana TFF imeanza kuibeba Simba. Bado mkafika mbaali zaidi kwa kulinganisha na ulaya mbona Liverpool anamechi jumanne lakini jumamosi alicheza mechi ya ligi na kusahau huku ni Afrika. Muda ni mwalimu mzuri
 
Basi nenda wewe muhutu ukongoze tff kama unaona msomali anafaidi sana.
Swala sio kufaidi na mimi wapi nimetaja neno "kufaidi" unless wewe ni mbumbumbu huwezi kuelewa mambo. The Somalian is inefficient and a poor excuse for a soccer body's president.
 
acha kupotosha kwani tff ina kosa gani? ulitaka tff ndo walipe gharama za kusafirisha timu? labda ingekuwa timu ya taifa ndo uongee hivyo
TFF wana jukumu la kutafuta ufumbuzi pale mazingira kama haya yanapojitokeza.

Ingekuwa ile FAT ya akina El Mamry (Rip) Biashara wasingeshindwa kwenda Libya ila sasa hivi walaji wengi na ndio akina msomali.
 
Back
Top Bottom