Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Nyie Mwijaku FC hamuishiwi vituko humu jamii forum [emoji3525],mnaishushia hadhi hii huu mtandao kwa thread hizi za darasa la pili[emoji849][emoji849][emoji849]
Hii ishu au ifananayo...ingekuwa inawahusu Simba tff huwa anapambania sana...hata ishu ya mashabiki tff alijitoa
 
20210508_202928.jpg
 
Sioni mahusiano ya kilichowakuta biashara na juhudi za simba kwenye michuano ya CAF. Ebu acheni ushabiki usio na kichwa wala mkia.
 
Sioni mahusiano ya kilichowakuta biashara na juhudi za simba kwenye michuano ya CAF. Ebu acheni ushabiki usio na kichwa wala mkia.
Ni nchi 12 tu zinaingiza teams 4 ,kenya uganda rwanda burundi hawajawahi hata mara moja sisi ni mara mbili kutokana na juhudi za simba mwaka huu tutawabeba tena ingawa kuna kampeni ya kuvunja viungo mastaa wetu kwa hela zinazoitwa hamassa
 
Simba wamekuwa watoto wa kike, msimu uliopita walilalamika eti Prisons inawachezea rafu, msimu huu game zimekuwa ngumu wanailaumu Yanga. Hawa waachane na soka wahamie kwenye unenguaji ndiko watamudu vizuri kwa sasa.
Yaan jamaa Wana mambo ya kitoto sana Kila siku kulia Lia eti watatuvunjia wachezaji wetu

Onyango, wawa wanatumia nguvu sana na wanaumiza watu wa timu pinzani ila hakuna anayelalama

Wao kupigwa buti 2 Basi wanataka TFF iwaonee huruma sijui
 
Huna uwezo wa kutubeba we unachofanya ni kuongeza pointi na kufanya tz iingize timu 4

Kuwa Kati ya timu 4 za mwanzo ni juhudi ya timu mwenyewe, kwamba yanga akiwa wa 7 ataenda jibu ni hapana

Vp yanga akiwa bingwa Bado utasema ni juhudi zako kwenda clabu bingwa

Ni nchi 12 tu zinaingiza teams 4 ,kenya uganda rwanda burundi hawajawahi hata mara moja sisi ni mara mbili kutokana na juhudi za simba mwaka huu tutawabeba tena ingawa kuna kampeni ya kuvunja viungo mastaa wetu kwa hela zinazoitwa hamassa
 
Tulisema yule msomali hafai kabisa kuongoza TFF haya ndio mambo alitakiwa ashughulikie lakini wapi. Kazi kubebwa tu na wanasiasa wa ccm.
 
Raisi wa Burundi alipewa ndege yetu kama usafiri...ajabu timu yetu wawakilishi kimataifa hawajapewa wala kusaidiwa chochote.
Utoe ndege kwa ajili ya wajinga fulani wakacheze mpira? Kila mwaka si itakuwa hivyo hivyo?
 
Tulisema yule msomali hafai kabisa kuongoza TFF haya ndio mambo alitakiwa ashughulikie lakini wapi. Kazi kubebwa tu na wanasiasa wa ccm.
acha kupotosha kwani tff ina kosa gani? ulitaka tff ndo walipe gharama za kusafirisha timu? labda ingekuwa timu ya taifa ndo uongee hivyo
 
Kuna uzembe mwingi sana katika uendeshaji wa soka kwa vilabu vyetu. TFF inabidi sasa ichukue jukumu la kusaidia utaalamu na uzoefu kwa hizi timu ndogo. Wangepanda ndege moja na Azam wakawaacha pale Cairo, wadingekosa ndege kutoka pale.
 
Azam hawajasafiri kwa ndege ya kukodi.. azam wamesafiri na ndege ya abiria ya kawaida.. biashara walikuwa hawana nauli. Maana ndege za abiria kila siku zipo. Hata ndege waliopanda azam biashara wasingeweza kupanda bila nauli
 
Kwani waziri wa michezo kazi yake ni nini? Tumeshindwa kuwapa hata bombadia moja kweli vijana wanawakilisha taifa? Hii ni aibu kwa kweli
 
Back
Top Bottom