Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Ishaisha issue CAf wamekataa utetezi wa kijinga, walikuwa na week nzima ya kwenda hata kulia serikalini ndege ya mkopo ila walikaa kimya wakimsikilizia mlezi wao ambaye yeye anapata milions 15 za kuvunja miguu mastaa wa simba toka kwa wauza magodoro
Watu wapo na timu kimaslahi
 
SIKU MTAKUJA KUSTUKA KWAMBA KUNA WATU WALIKULA HELA ZA WAARABU NA NJAA ZAO WAFANYE USHUBWADA HUU ITAKUWA TOO LATE , KAMA MILIONI 15 AMBAYO UKIWEKA KWA WACHEZAJI WOTE NI KAMA LAKI 5 PER PLAYER INASABISHA MTU KURUKIA MATEKE YA SHINGO WENZAKO HAWA UKIWAPA ARAB MONEY SI WATAJIFANYA WALIKOSA NAULI WAKATI HAWAKUSEMA HATA TUWACHANGIE? THINK ABOUT IT
 
imebuma mechi ni saa mbili usiku leo pre match meeting ishaisha, saa mbili hao wajinga wa musoma wanatakiwa wawepo uwanjani Benghazi la sivyo miaka 2 ban na faini nzito inawahusu tangu jumatatu walikuwa na nafasi ya kuongea na serikali kuhusu ndege hata kukopa au wangechangisha hela ya mafuta, usije kukuta wamekula hata hongo ya waarabu hawa viongozi njaa
 
Wabongo msikalie kulaumu tu. watu walipambana na ndege ya kukodi ikapatikana air Tanzania.
Bahati mbaya ndege zetu hazina permit ya kutua nchi husika bano wanaendelea na mchakato wa kibali.
 
Nyau wanachekesha sana, wanasahau wao ndo waasisi wa kutoa bonus za kukamia mpinzani (rejea makonda kutoa 20m) leo akitoa mwingine ni ametumwa na wananchi awavunje miguu hahahahaha

Jasho linapotea linapotea hahahaha kwamba alitumwa
Nje ya mada.
 
Ushahidi siyo? yule beki wa prisons Benjamin asukile kamuulize kilichomkuta baada ya kusema ukweli.....nyie ahadi mkitaka toeni tu hata za kuwapakiza kwenye space shuttle za kuwapeka International air space au mwezini poa tu ILA UJINGA NI KUTOA MALEKEZO YA KUVUNJA VIUNGO VYA WACHEZAJI WA SIMBA KAMA VILE ILIVYOTAKIWA KUFANYWA NA POLISI FC ILI SIMBA WATOLEWE NA WA BOTSWANA
Msimu huu mtatoa kila aina ya visingizio, ubingwa hamchukui! Tatizo mmeanza mapema sana mpaka ........!
 
Msimu huu mtatoa kila aina ya visingizio, ubingwa hamchukui! Tatizo mmeanza mapema sana mpaka ........!
KAMA tuzo mmelia tff wanaipendela simba na faini ya CAf mkadai caf wote ni simba subirini round 3 toka sasa uje unikumbushe hii kauli yako, mtatoa sana maelekezo ya watu kuvunjwa miguu na shingo lakini piga ua ,subirini kupewa ride champions league mkatie tena aibu, ungrateful fools
 
NAONA UMEWEKA EMOJI YA KUREMBUA MACHO ,MIWJAKU NDIYE SAIZI HALISI YA LOPOLOPO LENU AKICHOKA KUNA SUB YAKE YA DR KUMBUKA AMBAYE ATAMKUMBUSHA MSUKULE KUSAFISHA MIMENO MICHAFU ILE
JITU LINAKAZANIA MO AU CEO WAMJIBU, HANA HADHI HIYO HATA KIDOGO
Mwijaku sio saizi ya Bugatti,Mwijaku levo zake Baba levo,Aristote,juma lokole na mbuzi zingine huko...Manara is the next,mashabiki wa Simba wenye akili washaanza kumkataa Mwijaku we unamtetea sijui sijui ubwabwa mwenzie.
 
Wabongo msikalie kulaumu tu. watu walipambana na ndege ya kukodi ikapatikana air Tanzania.
Bahati mbaya ndege zetu hazina permit ya kutua nchi husika bano wanaendelea na mchakato wa kibali.

Tunalaumu kwa nini hawakufanya tangu jumatatu hayo maandalizi

Mechi inachezwa jumamosi wao ndege ya kukodi wanaitafuta ijumaa.. yaani siku 1 kabla ya mechi ndio wanaanza kutafuta ndege na vibali
 
Francis braza alifanya la maana kuwakimbia hao wehu, nitashangaa sana kuona wachezaji kama Nkane wakibaki hapo au yule kipa ssetuba

Hivi hawa Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia wana akili sawasawa kweli wana uhakika gani kwamba GSM alitoa fedha kuwapa Biashara ili wawavunje miguu simba huu ni upuuzi wa kutotumia akili Makonda alipotoa m20 mbona Wananchi hawakulalamika Kipigo cha Mayele bado kinawasumbua sana wao wanataka wachezaji wa simba wasikabwe mtaendelea kulalamika Polisi na Prison wanawasubiri
 
Mo alisikika mara kwa mara kupoteza mabilioni katika mechi za kimataifa

Hakuna sehemu fedha zinatumika nyingi katika safari za timu za kimataifa ndio maana anajitoa simba kimyakimya

Washabiki kazi yao ni kushangilia pale timu inavyofanya vizuri na kulalamika pale inaposhindwa bila kufikiri kuna watu wanafilisika.

Hili lililotokea kwa biashara lazima lije kuzikuta simba na yanga with exception of Azam
 
Back
Top Bottom