Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Raisi wa Burundi alipewa ndege yetu kama usafiri...ajabu timu yetu wawakilishi kimataifa hawajapewa wala kusaidiwa chochote.
hwakusema wale wetu mlezi naye anasubiria mechi ya simba tu na milions 15 za kuhamasisha mateke ya shingo kwa wachezaji wa simba
 
Siku ya utoaji tuzo waziri mkuu alizungunzia suala la biashara specifically akawaambia TFF wahakikishe timu inafika kwa wakati maana inawakilisha taswira ya nchi .maagizo ya waziri mkuu hayajafanyiwa kazi..karia kazi yake kukaa na kujaza kitambi pale TFF..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Real.
Hapo kwenye image ya nchi sasa itakuwa imeharibika sana. Bongo bana.
 
Siku ya utoaji tuzo waziri mkuu alizungunzia suala la biashara specifically akawaambia TFF wahakikishe timu inafika kwa wakati maana inawakilisha taswira ya nchi .maagizo ya waziri mkuu hayajafanyiwa kazi..karia kazi yake kukaa na kujaza kitambi pale TFF..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ilikuwa alhamisi, tff ijumaa wakahakikisha wanaomba CAF waahirishe mechi maana vibali vya anga vinatakiwa vipite sudan, south sudan and libya kwenyewe hawafanyi kazi ijumaa wala jumamosi...that means suala la ndege limesolviwa ijumaa jana ,baada ya mechi ya kwanza viongozi wa baishara na MLEZI WAO YULE ANAYESUBIRIGI HAMASA MECHI DHIDI YA SIMBA WALIKUWA WAPI? 5 days they had no clue about what they are doing
 
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara

sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa baada ya kuwasubiri wanajeshi wa mpakani kwa dakika 15 referee atatoa ushindi kwa waarabu

Kifuatacho ni rungu la CAf ..ujinga kabisa what a shame..jasho la simba linapotea bure .....NAFASI NNE ZINAHANGAIKIWA NA SIMBA KWA MARA YA PILI SASA ILA WAPUUZI WANAZIPOTEZA KIJINGA WENGINE WANAPITISHIA PESA MLANGO WA NYUMA KUVIPA VITEAM VIDUCHU ILI WACHEZAJI WA SIMBA WAUMIZWE WASIWIEZE KUCHEZA MICHEZO YA KIMATAIFA...

MBAYA ZAIDI WANAOHUSIKA NA UJINGA HUU HATA KUSAIDIA NAULI YA TEAM WANAKAUSHA KIMYAA KAMA SIYO WAO....
SIMBA WARUHUSIWE KUCHAGUA TEAM ZA KWENDA NAO MWAKANI...HUU UJINGA UMETOSHA SASA MAAN KUNA WAPUUZI WENGINE HATA TUKIWABEBA WAO ROUND ZA AWALI TU OUT ILA MIDOMO MIREFU KAMA CHUCHUNGE

View attachment 1984342
Laana ya kutumiwa na GSM kuwaumiza wachezaji wa Simba itawatafuna sana hawa wajinga. Ally Hapi kawaponza.
 
GSM/Ally Hapi Wako Wapi
walihamia polisi ili simba wavunjwe miguu ingebidi hata manula ili simba watolewe marudiano na makirikiri bahati nzuri mechi ikaahirishwa na polisi walilalamika sana...so hao uliouliza wenyewe wanajua namna ya kuizuia simba ni kutoa vilaki 3 kwa wahuni njaa wakavunje shingo za mastaa wakubwa afrika wanaoshikilia nafasi ya 15 kwa ubora afrika nzima
 
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara

sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa baada ya kuwasubiri wanajeshi wa mpakani kwa dakika 15 referee atatoa ushindi kwa waarabu

Kifuatacho ni rungu la CAf ..ujinga kabisa what a shame..jasho la simba linapotea bure .....NAFASI NNE ZINAHANGAIKIWA NA SIMBA KWA MARA YA PILI SASA ILA WAPUUZI WANAZIPOTEZA KIJINGA WENGINE WANAPITISHIA PESA MLANGO WA NYUMA KUVIPA VITEAM VIDUCHU ILI WACHEZAJI WA SIMBA WAUMIZWE WASIWIEZE KUCHEZA MICHEZO YA KIMATAIFA...

MBAYA ZAIDI WANAOHUSIKA NA UJINGA HUU HATA KUSAIDIA NAULI YA TEAM WANAKAUSHA KIMYAA KAMA SIYO WAO....
SIMBA WARUHUSIWE KUCHAGUA TEAM ZA KWENDA NAO MWAKANI...HUU UJINGA UMETOSHA SASA MAAN KUNA WAPUUZI WENGINE HATA TUKIWABEBA WAO ROUND ZA AWALI TU OUT ILA MIDOMO MIREFU KAMA CHUCHUNGE

View attachment 1984342
Nyie Mwijaku FC hamuishiwi vituko humu jamii forum [emoji3525],mnaishushia hadhi hii huu mtandao kwa thread hizi za darasa la pili[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Nimeumis sana hawa biashara na viongozi wao ni wazembe walikuwa wapi siku zote hizo? TFF pia ni wazembe mno nashindwa kuelewa hawana kweli mfuko wa dharula kwa timu changa kama hizi na hao BARRICK kwenye jezi za biashara wanafuata nini?
Laana ya kutuumizia wachezaji wetu haiwezi kuwaacha salama
 
walihamia polisi ili simba wavunjwe miguu ingebidi hata manula ili simba watolewe marudiano na makirikiri bahati nzuri mechi ikaahirishwa na polisi walilalamika sana...so hao uliouliza wenyewe wanajua namna ya kuizuia simba ni kutoa vilaki 3 kwa wahuni njaa wakavunje shingo za mastaa wakubwa afrika wanaoshikilia nafasi ya 15 kwa ubora afrika nzima

Biashara Hawana Cha Kuuza Sasa Hivi Wanatoa Bure Point Ambazo Simba Walipambana Mno

Utopolo Walianza Wakapigwa In/OuOut

Sasa Hawa Nao

hao wajinga mechi ya kwanza iliisha lini? na hiyo ndege ya serikali walipata lini hadi kuanza kuomba clearance ya anga? maan siku y a tuzo ndipo tunasikia waziri mkuu aklitoa maagizo kwamba biashara lazima wasafiri iwe isiwe...yaani hadi alhamisi usiku hawa jamaa walikuwa hawana plan? the whole week? GODDAMN IT
Na wewe unatetea ujinga?hawa wapumbavu plus utopolo na azam hawastahili tena ride ya simba...matter of fact is...KUANZIA MWAKANI TANZANIA IWAKILISHWE NA TEAM MOJA TU SIMBA BASI
Alichofanya Waziri Mkuu ni sawa na kujaribu kumnenepesha ng'ombe siku ya mnada.
 
Nyie Mwijaku FC hamuishiwi vituko humu jamii forum [emoji3525],mnaishushia hadhi hii huu mtandao kwa thread hizi za darasa la pili[emoji849][emoji849][emoji849]
Demu Tuliza mshono shughuli ya kiumeni hii
 
Alichofanya Waziri Mkuu ni sawa na kujaribu kumnenepesha ng'ombe siku ya mnada.
caf wanajua kila kitu watu wansahau walibya walikuja na afisa wao anayezungumza kiswahili fasaha kabisa kaishi zanzibar muda mrefu , wanaweza wakawa hata wame argue na CAf kwamba hawa watu hawakuwa na nauli wamechukua ndege ya kukodi late, process zote zimefanyika jana ,wangeanza jumatatu wangeshaondoka siku nyingi sana
 
Siku ya utoaji tuzo waziri mkuu alizungunzia suala la biashara specifically akawaambia TFF wahakikishe timu inafika kwa wakati maana inawakilisha taswira ya nchi .maagizo ya waziri mkuu hayajafanyiwa kazi..karia kazi yake kukaa na kujaza kitambi pale TFF..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulitaka TFF wafanyaje? Watoe hela kwenye account zao.....?
We uliwahi ona wapi kitu kama hicho?
 
Nyie Mwijaku FC hamuishiwi vituko humu jamii forum [emoji3525],mnaishushia hadhi hii huu mtandao kwa thread hizi za darasa la pili[emoji849][emoji849][emoji849]
NAONA UMEWEKA EMOJI YA KUREMBUA MACHO ,MIWJAKU NDIYE SAIZI HALISI YA LOPOLOPO LENU AKICHOKA KUNA SUB YAKE YA DR KUMBUKA AMBAYE ATAMKUMBUSHA MSUKULE KUSAFISHA MIMENO MICHAFU ILE
JITU LINAKAZANIA MO AU CEO WAMJIBU, HANA HADHI HIYO HATA KIDOGO
 
wasubiri mechi ya simba dar es salaam mlezi wao kupitia wauza mgodoro atatoa milioni 15 ya kucheza kung fu kwenye miili ya ma super stars wa simba wanaoshikilia nafasi ya 15 kwa ubora afrika

IMG-20211023-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom