Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Awa wanaela zao zipo pale azam kwanini asingekopeshwa kuna tatzo mahali sio bure
 
TFF wana jukumu la kutafuta ufumbuzi pale mazingira kama haya yanapojitokeza.

Ingekuwa ile FAT ya akina El Mamry (Rip) Biashara wasingeshindwa kwenda Libya ila sasa hivi walaji wengi na ndio akina msomali.
Watafute ufumbuzi wapi ?

Wakati hii timu inaitwa kwenye semina walizopewa timu 4 zilizoshiriki kimataifa biashara hawakutuma mwakilishi wakidai hawana nauli.

We unaona timu iko serious hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…