Biashara ya bidhaa kutoka China

Naomba unielekeze ulianza kulipia tangazo fb ukaweka tangazo la biashara gan kabla ya kuagiza aliexpress
 
Mkuu mbona alibaba vilivyopo havina features kama hivi au wewe unanunuaga wapi?
 
Alibaba vipo. Ngoja nicheck niweke link ya Duka hapa
Nimeviona Kwa uzuri tu alibaba sasa vipi lan soko lake maana Kwa mbongo Kununua accessories Kwa 30 elf naona kama Hadi kushikana masharti.
 
Bidhaa zako kutoka alibaba ulikiwa unafqnya shipping na ageny gani?
 
AliExpress ndani ya siku 14 mzigo umefika speedaf wanakuletea Hadi mlangoni.tena Kuna zile free shipping
Uko sahihi kuna bidhaa ambazo ukiagiza utazipata faster ..

Hapa nilimuagizia mtu huko bongo..!

Na mzigo umefika faster kuliko kipimdi cha miaka ya nyuma..!
 
Uko sahihi kuna bidhaa ambazo ukiagiza utazipata faster ..

Hapa nilimuagizia mtu huko bongo..!
View attachment 2957042
Na mzigo umefika faster kuliko kipimdi cha miaka ya nyuma..!
View attachment 2957043
Mfano unaweza kuagiza hizi seat cover kwa Tshs 32+ ni free shipping pitia review jiridhishe kama inakufaa
 
Hi me nataka kuagiza mzigo toka china lakini sijui nitaupokeaj nimeongea na muuzaj company ya albaba tushaelewana kila kitu nawaza mzigo Wang nitaupokelea wapi sasa nisaidieni jamani
 
Hi me nataka kuagiza mzigo toka china lakini sijui nitaupokeaj nimeongea na muuzaj company ya albaba tushaelewana kila kitu nawaza mzigo Wang nitaupokelea wapi sasa nisaidieni jamani
silent ocean wasilian nao watakupa address yao huko china then supplier wako atapeleka. utapokea mzigo dar utalipia siku ukienda kuchukua mzigo wako
 
Kaka naomba kujua hii ya hizo mita
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…